Mbinu hii itakusaidia kukabiliana na Ujenzi

huto tunyumba ndiyo habari ya tuendako. kama unakiwanja sehemu nzuri, unaweza toa kamoja kwenye kila 100sqm halafu unatupngisha. kama watu wanapanga chumba kimoja, hawawezi shindwa kupanga hako ukiweka bei rafiki.
 
Ni kwel chief ila kwenye mafanikio kuna mambo mengi, Je mimi nina kosa gani kuandaa ramani ya chumba kimoja..ni kweli kuwa kila mtu ana uwezo wa mabangalow? kama ni ivo kwanini hii Ramani nimefanikiwa kuiuza kwa baadhi ya watu?tukiacha vichwa vitu vifikirie freely na bila kuwa wabinafsi , utajua watu tunatofautiana na ndo maana kuna maskini na matajiri mimi sion tatizo, beyond hapo ni watu kuwa na chuki na ninachofanya..
Naomba mambo mengine tufanye kusaidiana tu. Sio lazima kuliza watu hela kwa ramani ya chumba kimoja. Ungeweka tu hapa ili kutoa msaada, ikiwa ni pamoja na floor plans, na estimation ya materials ili kujua hio 5 million tshs inatumikaje. Na kama mtu akiamua kukupa $$, atafanya hivyo. Angalia hii link tulivyomsaidia jamaa kupata ramani nzuri. Tusaidiane na mambo mengine usiweke pe$$a mbele.. tena chumba ni kimoja tu??

mafundi nao utaomba wakusaidie kukujengea chief?..tunasaidiana kwa kupeana bei nafuu, there is no something for nothing, yaani ujipinde mgongo utafute estimation for nothing really?hicho kidogo ndo kinatupa nguvu na moyo wa kufanya zaidi chief..
 
Mimi sitaki ugomvi na ww. Ila naona sasa unajibu kama unanitafta ugomvi. Umeshaona mafundi wakifanya kazi ya kuumia kutwa wasilipwe? Uko sahihi lakini pia kwamba estimation basi ubaki nazo.. sasa na ramani si ungeweka tu? Halafu mtu akakutafta kwa huzo estimation. Ramani google zipo kibao na mtu anapata tu hata hivyo. Wala usingepoteza kitu kwa kuiweka hapa.
 
Nenda google basi kwenye uzi wangu umefata nini chief umesikia nataka maubiri by the way kama wewe ni mtoto wa kike ni pm utaipata bure
 
mafundi nao utaomba wakusaidie kukujengea chief?..tunasaidiana kwa kupeana bei nafuu, there is no something for nothing, yaani ujipinde mgongo utafute estimation for nothing really?hicho kidogo ndo kinatupa nguvu na moyo wa kufanya zaidi chief..

One-bedroom-with-balcony.jpg

Bridges-at-Kendall-Place-Apartment-Plan.jpg

E-1-bed-1-bath-824.png
 
Una akili sana, mimi pia nilianza hivi, nikawa naunga unga hadi ikawa nyumba nzima, leo hii ukiiona mtu hawezi amini ilianza kama chumba kimoja na choo.
 
Yes! Mtu pia unaweza kuwa na plan ya nyumba kubwa. Unaanza upande mmoja, unaendeleza taratibu. Inawezekana sana tu.
 
Back
Top Bottom