“Miongoni mwa mbinu hizo ni kutoa fedha kwa vyama vya siasa vya upinzani ili kuandaa maandamano yasiyokwisha au kufanya mikutano ya kisiasa na kuzunguka nchi nzima kuanzisha ajenda ambazo zitakuwa zinazungumzwa mfululizo ili kupunguza nguvu ya serikali iliyo madarakani,” alieleza mtoa taarifa wetu ambaye alihitaji hifadhi ya jina lake.
Alibainisha kuwa njia hiyo ni rahisi kwa sababu mara nyinine kazi inayofanywa na mabeberu ni kuunga mkono tu kwa kutoa pesa hata kwa vikundi vya waasi vilivyotangaza kutaka kupindua serikali iliyopo madarakani, vinaweza kuwa vikundi vya wanajeshi au vikundi vilivyoanzishwa na vyama vya upinzani.