Mbinu 15 za kumtongoza mwanamke akakupenda daima

Joram Dymisster

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2014
Posts
502
Reaction score
429
Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi ya kuzungumza na mwanamke au msichana. Kwa njia hii wanaume wengi wanaishi maisha ya bila kumvutia mwanamke yeyote.

Hapa kunanjia 15 utakazozitumia wewe mwanaume ili kuhakikisha humkwazi mwanamke unayempenda mnapokuwa katika mazungumzo ;

1. Wakati ukizungumza nae, jaribu kuzungumzia "hisia" kama vile kumbu kumbu yako ya utotoni, matarajio ya baadae au matamanio yake. Mada hii ya mazungumzo yenu yatafungua milango ya hisia zake ghafla.

2. Wanawake huhitaji mwanaume asiyekuwa na uoga wa kuwamiriki na kuwaongoza. Wakati unazungumza na mwanamke tawala mazungumzo yenu na kamwe usimpe nafasi ya yeye kuanza kufikiri kuwa nini ulichokuwa ukizungumzia.

3. Kuwa makini wakati unapokuwa ukizungumza nae huku akikupatia majibu yasiyo na hisia zozote za mapenzi. Hapo utajua kunakitu, hivyo kama kwa bahati mbaya uko nae karibu kiasi cha kugusana, basi jisogeze pembeni wakati ukiwa unaendelea kuongea ili asishtukie au unaweza kumuona hayuko sawa katika utoaji majibu.. kwa kawaida atakuonyesha ishara, hivyo kuwa nazo makini.

4. Kumbuka hii kauli mbiu "Ucheshi/vituko si mapenzi". Wanawake huvutiwa sana na wanaume wanaoweza kuwafanya wawe na furaha muda wote. Usijikite zaidi katika kufanya utani unaopita kiasi na kusahau ulichokuwa unaongea. Bali jikite zaidi katika mambo yanayomfanya ajisikie kuwa na msisimko na starehe wakati ukonae.

5. Zama katika undani wa mazungumzo baina yako na yeye. Mwanamke huendana na mwanaume asiyekuwa muoga wa kuzungumzia mambo binafsi kwa ukaribu.

6. Wanawake wengi hupenda kujua maoni yako kuhusiana na jinsi unavyomuona. Mwambie vitu unavyoviona kutoka kwake, lakini jaribu kuwa makini ili usitamke vitu vingine vitakavyo msababishia apoteze furaha.

7. Epuka kumpa ofa nyingi mwanamke, mwanamke huwa na mashaka na mwanaume anayempatia vitu vingi kwa wakati mmoja ama kila mara. Kwasababu atafikiri vitu unavyompatia ni kutaka kumvutia tu ili umpate kiurahisi. Kitu ambacho baadae kitaleta madhara makubwa.

8. Kama unahitaji kujua njia nzuri ya kuweza kuongea na mwanamke au msichana bila kumfanya asikudharau au kuboreka, basi usitumie njia ya kumuuliza maswali mengi katika mazungumzo yenu. Bali jaribu kueleza mawazo yako kuhusu vitu flani.

9. Kumbuka kauli juu ya kuuliza maswali: Badala ya kumuuliza "wewe umekulia wapi?", uliza "unaonekana kama hujakulia maeneo haya!" Hii itakusaidia wewe kufanya uchunguzi juu yake bila yeye kujua.

10. Usifiche utambulisho wako - zungumza vitu kutoka katika hisia zako, onyesha uhalisia wako katika kuzungumza na usitumie mikogo ya mtu yeyote.

Njia bora ya kufikiria jinsi ya kuzungumza na mwanamke, ni kutambua njia sahihi ya mazungumzo ya furaha na yakimahaba utakayopenda kuitumia, isipokuwa usimuige mtu. Kuzungumza na mwanamke sii vigumu bali nikujua ni vitu gani hasa mwanamke hapendi kuvizungumzia na vitu gani anapenda kuvisikia. Fuata maelekezo hapo juu utaona matunda yake...kisha rudi toa maoni yako hapa.

MUHIMU: Maelekezo haya yote yatafanikiwa kwa mwanamke kama uko na pesa [MTONYO WA KUTOSHA]
chanzo;Priority10News]

PIA SOMA MADA HIZI:

1. Namna ya kuongea wakati wa kumtongoza mwanamke
2. Zijue mbinu 5 za kumtongoza msichana yeyote mrembo hadi akubali
3. Jinsi ya kumtongoza mwanamke club
4. Jinsi ya kumpata mwanamke bila kumtongoza
5. Mapenzi: Jinsi ya kumtongoza mwanamke unayemtaka na ukampata kwa urahisi
 
Umetumia muda mwingi kufikiria tungo yako sema tu. Pesa ukiwa nayo huleta confidence .

Miaka ya nyuma haya uliyobainisha yangemata lakini kwa usawa huu sidhani kama ni muhimu sana.Pesaa babaaa
 
Mbinu feki hizo. Kila mwanamke ana namna tofauti ya kutongozwa. Let say, muuza baa,katibu muhtasi mahali, mke wa mtu, mwanajeshi, polisi.. nk hao wote kuna namna tofauti ya kuwaingia
 
Haaaaaa katika yote hayo ni kweli kabisaaaa + muhakikishie kua kwangu Utakula ,utavaa ,utalala ,utapata huduma zako sawasawa .

Mtoto wawatu atakuambia "Nioe tu"..
 
Mbinu feki hizo. Kila mwanamke ana namna tofauti ya kutongozwa. Let say, muuza baa,katibu muhtasi mahali, mke wa mtu, mwanajeshi, polisi.. nk hao wote kuna namna tofauti ya kuwaingia
Hapana ,kila siku nasema , kazi na ubinadamu utabaki kua vitu viwili tofauti.

Upolis ,unajeshi ,ubar maid utabaki kua kazi nayeye atabaki kua mwanamke tu.

Sasa ktk uanamke wake hapo ndo pakuhakikisha unamshinda !!.
 
black-couple-at-lunch.jpg

Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi ya kuzungumza na mwanamke au msichana. Kwa njia hii wanaume wengi wanaishi maisha ya bila kumvutia mwanamke yeyote.

Hapa kunanjia 15 utakazozitumia wewe mwanaume ili kuhakikisha humkwazi mwanamke unayempenda mnapokuwa katika mazungumzo ;

1. Wakati ukizungumza nae, jaribu kuzungumzia "hisia" kama vile kumbu kumbu yako ya utotoni, matarajio ya baadae au matamanio yake. Mada hii ya mazungumzo yenu yatafungua milango ya hisia zake ghafla.

2. Wanawake huhitaji mwanaume asiyekuwa na uoga wa kuwamiriki na kuwaongoza. Wakati unazungumza na mwanamke tawala mazungumzo yenu na kamwe usimpe nafasi ya yeye kuanza kufikiri kuwa nini ulichokuwa ukizungumzia.

3. Kuwa makini wakati unapokuwa ukizungumza nae huku akikupatia majibu yasiyo na hisia zozote za mapenzi. Hapo utajua kunakitu, hivyo kama kwa bahati mbaya uko nae karibu kiasi cha kugusana, basi jisogeze pembeni wakati ukiwa unaendelea kuongea ili asishtukie au unaweza kumuona hayuko sawa katika utoaji majibu.. kwa kawaida atakuonyesha ishara, hivyo kuwa nazo makini.

4. Kumbuka hii kauli mbiu "Ucheshi/vituko si mapenzi". Wanawake huvutiwa sana na wanaume wanaoweza kuwafanya wawe na furaha muda wote. Usijikite zaidi katika kufanya utani unaopita kiasi na kusahau ulichokuwa unaongea. Bali jikite zaidi katika mambo yanayomfanya ajisikie kuwa na msisimko na starehe wakati ukonae.

5. Zama katika undani wa mazungumzo baina yako na yeye. Mwanamke huendana na mwanaume asiyekuwa muoga wa kuzungumzia mambo binafsi kwa ukaribu.

6. Wanawake wengi hupenda kujua maoni yako kuhusiana na jinsi unavyomuona. Mwambie vitu unavyoviona kutoka kwake, lakini jaribu kuwa makini ili usitamke vitu vingine vitakavyo msababishia apoteze furaha.

7. Epuka kumpa ofa nyingi mwanamke, mwanamke huwa na mashaka na mwanaume anayempatia vitu vingi kwa wakati mmoja ama kila mara. Kwasababu atafikiri vitu unavyompatia ni kutaka kumvutia tu ili umpate kiurahisi. Kitu ambacho baadae kitaleta madhara makubwa.

8. Kama unahitaji kujua njia nzuri ya kuweza kuongea na mwanamke au msichana bila kumfanya asikudharau au kuboreka, basi usitumie njia ya kumuuliza maswali mengi katika mazungumzo yenu. Bali jaribu kueleza mawazo yako kuhusu vitu flani.

9. Kumbuka kauli juu ya kuuliza maswali: Badala ya kumuuliza "wewe umekulia wapi?", uliza "unaonekana kama hujakulia maeneo haya!" Hii itakusaidia wewe kufanya uchunguzi juu yake bila yeye kujua.

10. Usifiche utambulisho wako - zungumza vitu kutoka katika hisia zako, onyesha uhalisia wako katika kuzungumza na usitumie mikogo ya mtu yeyote.

Njia bora ya kufikiria jinsi ya kuzungumza na mwanamke, ni kutambua njia sahihi ya mazungumzo ya furaha na yakimahaba utakayopenda kuitumia, isipokuwa usimuige mtu. Kuzungumza na mwanamke sii vigumu bali nikujua ni vitu gani hasa mwanamke hapendi kuvizungumzia na vitu gani anapenda kuvisikia. Fuata maelekezo hapo juu utaona matunda yake...kisha rudi toa maoni yako hapa.

MUHIMU: Maelekezo haya yote yatafanikiwa kwa mwanamke kama uko na pesa [MTONYO WA KUTOSHA]
chanzo;Priority10News
Unatumia miaka mingapi Ku complete mission
 
Mi natongoza hela.......ukiwa mkali wa kutongoza hela wanawake hawazingui...wanawake wanajileta wenyewe....napiga af nasepa.......
 
Sawa mbinu hizi muhimu,lakini cash money,au hata ka gari ,ndio mpango mzima,
Miaka kadhaa,niliishi mwanza,mtaa nilipokuwa nimepanga,wanawake,wadada,mpaka wake za watu,walinipenda sana,nirikuwa na RAV4,ya kampuni,maisha niriyokuwa naishi,yaliwachanganya sana majirani,wiki nzima,nipo hm,naenda kula narudi gheto,pamba imepaki nje,watu wakajiuliza,huyu jamaa,anafanya kazi gani?anafamilia?,
Watu walijua Nina pesa balaa,nisingekuwa ustaaadh,ningeng'oa kila demu hapo kitaa,
Kwa uzoefu wangu,gari,ni uchawi mkubwa kwa Dada zetu wa karne hii,
 
Kuna wanamuke Na Mwanamuke Ambaye Amejieshimu Ata Upepete Ulimi Kama Kisaga Mahindi Kwake Ni Bure Ata Utumiye Iyo Mbinu 15 Kwake Ni Porojo Tu Na Cha Muhimu Shetani Wa Kwanza Ku Wadada Zetu Ni Pesa Tu Ata Ukuwe Mzée Ukiwa Na Pesa Watajileta Wenyewe Wapate Wanachotaka
 
sijasoma waraka wako ila kichwa cha habari kimetaka niweke neno ...amna cha njia wala cha maneno kama unahisi unamaneno kuna wenye maneno zaidi yako.... tuishi nao kwa akili sio kwa moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom