Mbinu 15 za kumtongoza mwanamke akakupenda daima

Kuna wanamuke Na Mwanamuke Ambaye Amejieshimu Ata Upepete Ulimi Kama Kisaga Mahindi Kwake Ni Bure Ata Utumiye Iyo Mbinu 15 Kwake Ni Porojo Tu Na Cha Muhimu Shetani Wa Kwanza Ku Wadada Zetu Ni Pesa Tu Ata Ukuwe Mzée Ukiwa Na Pesa Watajileta Wenyewe Wapate Wanachotaka
Umemaliza kila kitu....huyu alieturogea pesa sio mtu mzuri kabisaaaa hahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wanamuke Na Mwanamuke Ambaye Amejieshimu Ata Upepete Ulimi Kama Kisaga Mahindi Kwake Ni Bure Ata Utumiye Iyo Mbinu 15 Kwake Ni Porojo Tu Na Cha Muhimu Shetani Wa Kwanza Ku Wadada Zetu Ni Pesa Tu Ata Ukuwe Mzée Ukiwa Na Pesa Watajileta Wenyewe Wapate Wanachotaka
Sio kweli
Kama ingekuwa hivyo matajiri wasingekuwa wanalizwa na mapenzi

Upendo kwanza hayo mengine yanafuata
 
Ha ha ha
Viewers 20000 Coment 22
Ngoja yangu iwe ya 23

Mwezrahi
 
Iliandikwa "ISHINI NAO KWA AKILI" na si vinginevyo

Love and peace
 
Back
Top Bottom