Kwahio wakina waliojenga mnara wa babeli walikuwa na roho...mbona mungu aliwazuia wasifike huko??Mbona mtoa mada unachanganya kati ya mbingu na universe
sayari zote,nyota,jua,Galax, mawe na vitu vyote vilivyo kwenye space kiujumla inaitwa THE UNIVERSE sasa katika iyo universe ndipo mwanadamu anao uwezo wa kwenda katika kila kimoja kasoro vitu vyenye changamoto ya kusogelewa kama jua
NB: katika vitu vinavyotengeneza The universe mbingu haipo ata kidogo kwaiyo unaposema binadamu anauwezo wa kwenda angani ni kusavei katika hii universe lakini sio mbinguni ambapo kwenda huko kunaitaji roho na mwili
Mkuu kutokana kitabu cha Jasher biblia na kitabu cha enoko mbingu haipo duniani ila ipo katika hii hii universe sema imefichwa yaani macho ya mwili wa kawaida huwezi iona kama ambavyo kuzimu ipo humu humu dunia call it hell,hades or Tertullus ipo hapa duniani ila ukiwa katika mwili wa nyama huwezi kuiona mpaka siku ya siku ifike
Nashukuru kwa elimu mkuu, sasa naomba unisaidie haya, ikiwa blue colour it has shorter wavelength kwa uelewa wangu scatterng inatokea karibu na uso wa jua,, sasa je inakuwaje rocket wadai zinapita juu ya ile blue, inamaana rocket zinapita karibu na jua? Pili ukifanya dispersion ya light kwa mwanga wa jua blue unikuta, sasa nashindwa kuelewa hii blue ya disperion ni ipi na blue ya scatering ni ipi ikiwa mwanga ni huo huo?Miale inayokuja duniani in rangi mbalimbali lakini rangi ya blue ina wavelength fupi hivyo inakuwa rahisi kutawanywa hiyo inapelekea macho yako kuona rangi ya blue lakini kiukweli kuna rangi nyingi!...Umeshajiuliza nini kinatokea unaona Upinde wa Mvua (rainbow)?. Hebu ingiza translate hiki kipande!.
Sema sijui...hakuna kitabu cha dini (abrahanic based religion book) iliotafrisi nini maana ya roho iwe qurani au bible.ni eneo ndani ya mtu ambalo huwa tuna ushirika na Mungu.
Nashukuru kwa elimu mkuu, sasa naomba unisaidie haya, ikiwa blue colour it has shorter wavelength kwa uelewa wangu scatterng inatoke karibu na uso wa jua,, sasa je inakuwaje rocket wadai zinapita juu ya ile blue, inamaana rocket zinapita karibu na jua? Pili ukifanya dispersion ya light kwa mwanga wa jua blue unikuta, sasa nashindwa kuelewa hii blue ya disperion ni ipi na blue ya scatering ni ipi ikiwa mwanga ni huo hui?
Acha bangi weweMimi jana nilikua Mbuguni mirerani.
kama ndo hivyo,kwanini lile ghorofa la babel ambalo nina hakika halikuwa na urefu wa zaidi ya ghorofa 5 za kileo lilitishia amani mpaka ikabidi mungu alisambaratishe?,Mbona mtoa mada unachanganya kati ya mbingu na universe
sayari zote,nyota,jua,Galax, mawe na vitu vyote vilivyo kwenye space kiujumla inaitwa THE UNIVERSE sasa katika iyo universe ndipo mwanadamu anao uwezo wa kwenda katika kila kimoja kasoro vitu vyenye changamoto ya kusogelewa kama jua
NB: katika vitu vinavyotengeneza The universe mbingu haipo ata kidogo kwaiyo unaposema binadamu anauwezo wa kwenda angani ni kusavei katika hii universe lakini sio mbinguni ambapo kwenda huko kunaitaji roho na mwili
Uta Uta naomba fungua uzi weka kichwa cha habari 'Kwanini anga la blue' au weka vyovyote mradi haya maswali utayauliza kule!.Nashukuru kwa elimu mkuu, sasa naomba unisaidie haya, ikiwa blue colour it has shorter wavelength kwa uelewa wangu scatterng inatokea karibu na uso wa jua,, sasa je inakuwaje rocket wadai zinapita juu ya ile blue, inamaana rocket zinapita karibu na jua? Pili ukifanya dispersion ya light kwa mwanga wa jua blue unikuta, sasa nashindwa kuelewa hii blue ya disperion ni ipi na blue ya scatering ni ipi ikiwa mwanga ni huo huo?
Ok nimekusoma mkuu, tuendelee na mada
Mkuu usisahau kunitag ukifungua uzi wako, Lakini kulijibu short swali hakuna sehemu ambayo unapata rangi ya blue ila kuna eneo ambalo miale ya jua ikifika ndio inatawanywa!..Nashukuru kwa elimu mkuu, sasa naomba unisaidie haya, ikiwa blue colour it has shorter wavelength kwa uelewa wangu scatterng inatokea karibu na uso wa jua,, sasa je inakuwaje rocket wadai zinapita juu ya ile blue, inamaana rocket zinapita karibu na jua? Pili ukifanya dispersion ya light kwa mwanga wa jua blue unikuta, sasa nashindwa kuelewa hii blue ya disperion ni ipi na blue ya scatering ni ipi ikiwa mwanga ni huo huo?
Hivi mwisho Wa universe kuna niniMbona mtoa mada unachanganya kati ya mbingu na universe
sayari zote,nyota,jua,Galax, mawe na vitu vyote vilivyo kwenye space kiujumla inaitwa THE UNIVERSE sasa katika iyo universe ndipo mwanadamu anao uwezo wa kwenda katika kila kimoja kasoro vitu vyenye changamoto ya kusogelewa kama jua
NB: katika vitu vinavyotengeneza The universe mbingu haipo ata kidogo kwaiyo unaposema binadamu anauwezo wa kwenda angani ni kusavei katika hii universe lakini sio mbinguni ambapo kwenda huko kunaitaji roho na mwili
acha uwongoMbingu ni ya blue ambayo huwa tunaiona kila siku
Universe aina mwisho ni infinityHivi mwisho Wa universe kuna nini
Hivi radius ya universe ni ngapi
Hivi universe imefunikwa na kitu au ipo tupu kwa nje
Kama imefunikwa hicho kitu kina ukubwa gani na kimefunikwa na nin kwa nje
Kama iko tupu huo utupu una limitation ya kiasi gani
haijafunikwa na kitu chochoteUniverse aina mwisho ni infinity
naaam nikweli kabisa ..majengo marefu ambayo huwa tunayaona sisi watu wazima nimarefu zaidi mara mbili ya vile waonavyo watoto wadogo ..nakumbuka niliwahi kurudi katk mitaa ambayo niliwahi kukulia wakati nilipokuwa mdogo pictr niliyokuwa naiona ilinitisha zamani nilipokuwa mdogo ile mitaa nilikiwa naiona kuwa nimikubwa mnooo lakini nilivyokuja kuiona ktk umri huu nikaja kushangaa mitaa naiona kuwa nimifupi na hata zile nyumba nikawa naziona kuwa nindogo tuMkuu ule ni urefu wa macho yako, Dogo wa futi 3 na wewe wa futi 6 mtaona tofauti kitu kimoja!..Hebu sumbua bando lako tafuta hii kitu Rayleigh Scattering!..
hahaaa nawewe umeipangua hii ..haya ..ngoja nimfuatile rakim