Mbinguni kutakuwa sehemu ya aina gani? Watu watakuwa wanafanya nini?

Binadamu yoyote mwenye akili timamu na utashi lazima awaze kama kuna maisha mengine baada ya kufa. Hilo ni sehemu ya mambo yanayotutofautisha na wanyama.
Hizo ni hekaya tu there is no Earth B called Heaven or Hell.

Hizo ni hekaya za wayunani wa kale!
Kiufupi human race ilikuja na itapotea kama Dinosaurs walivyokuwepo na kutoweka vivyo Hivyo na sisi itakuja kutokea.

Hizo hekaya nyingine ni kufarijiana Kwenye hamna!
 
Sitakuwa na mahitaji ya ki binadamu,

Imagine unaambiwa kule ni sex tu na dushe imesimama milele ukikutana na maza ako inakuwaje
Kwani dushe kusimama ina tatizo gani? Inabidi ukapime "testosterone". Hakuna mwanaume aliyekamilika bila siku kupita asiwaze kugegedana.
 
Ipo full ngono , uyafanya ngono mpaka na same sex, unaenda soko la kuuza sex worker unachagua picha yoyote either ya mwanaume au mwanamke unaingia kwenye picha unapiga shoo, kumbuka machine hailali milele

Muhamad anasema
  • Kutakuwa na na soko, soko litakuwa na picha za wanaume na wanawake, mwanaume atachagua picha aipendayo anaingia anapiga sex na muhusika
    • 'Ali narrated that the Messenger of Allah (s.a.w) said: "Indeed in Paradise there is a market in which there is no buying nor selling- except for images of men and women. So whenever a man desires an image, he enters it." Vol. 4, Book 12, Hadith 2550
kwamba machine hailali!!?" aaahh iyo mbingu tumepigwaa 😅😅
 
Huamini laana, unaamini bahati, wakati huo huo huwezi kuthibitisha bahati inatokana na nini.

Sawa na yule asiyeamini Mungu yupo, ila anaamini vitu vyote vilitokana na nature/asili, ukimuuliza hiyo nature ilitokana na nini? hana Cha kujitetea.

Unakataa uwepo wa Mungu kwa madai ni mawazo ya kibinadamu tu na hatupaswi kuyaamini kabisa, ilihali wewe unayetaka tukubali mawazo yako ni Binadamu pia.

Lazima uwe kichaa kwanza ili kuelewa hivi vituko vya Bongo.com
Ok,na MUNGU pia alitokana na nini?
 
we subiri judgement day sir God akuulize ulikua unahisi mimi ni fiction
ndo utaelewa.
huyo God ni man made yaani aanze kuniuliza maswala Kama Hayo kivipi Aisee

Mnasema anaujuzi wote na nguvu zote na anafanya kitu chochote Kwa muda wowote kwanini asije niuliza hata Leo?

Ajitokeze anithibitishie kua yeye sio Fiction character Ili asikae na kinyongo mbaka judgement day mnayosema ndio anihoji maswala ya Leo!

Huyo unayemsema kihivyo hayupo na hatakuawepo kamwe ni hekaya za wayunani tu Hizo!
 
Binadamu yoyote mwenye akili timamu na utashi lazima awaze kama kuna maisha mengine baada ya kufa. Hilo ni sehemu ya mambo yanayotutofautisha na wanyama.
ni sawa ila sio motoni. shuuda za watu youtube wansema mbinguni kuna magorofa ya dhahabu kwel if its true then there is another God the most high but we dont have even a clue about that energy quantam we call is the source. mr Venus Star hii tarifa anaifaham na mm najua hajatunga au kunakitabu kasoma hila hukipati kwenye markers (The source)
 
Ok,na MUNGU pia alitokana na nini?
suddenly the point of light raise from no where become hotter as time goes exapand then explode the life sequensing start there. 😅😅😅😅😅 wote hatujui lakin hii ndo best world point
 
Ok,na MUNGU pia alitokana na nini?
Kabla hujafikiria MUNGU ametokana na nini, nitakuliza wewe umetoka na nini

Mwili umetengeneza na chembe chembe zinaitwa cell , lakini cell moja ina weza kuishi kama kiumbe ambaye ni mdudu yani kama bacteria nao ni cell. Je Mambo hayo yote yalitokea kwa bahati mbaya.

Kwa mtu ambaye amesoma physics na chemistry ya O Level bila kukariri yani mwenye mifano hai au anajua kukielezea alichokisoma basi kupitia sayansi unaweza kujua kuna Mungu , sayansi hii nayosemea siyo sayansi ya theory ya zamani bali sayansi practical kuna maswali ambayo yanadhihirisha yupo Mungu

Gravitational force na Atmospherical pressure navyo vilitokea kwa bahati mbaya?

Shughuli zinazoendelea mwilini mwako ( kama msukumo wa damu, utoaji wa virutubisho katika chakula ulichokula na kukufanya kuwa nguvu na kulisha seli ) bila ya wewe kiendesha

Mechanism zinazofanyika katika mimea yani utadhani labda wanaubongo kama wa binadamu ( utafutaji maji kwa mimea , utafutaji mwanga , mimea ambayo ni predator - inayokula wadudu kama nyuki ), nao ilitoka kwa bahati mbaya?

UKIWEZA KUJIJIBU MASWALI MADOGO MADOGO KAMA HAYO ITAKUA VIZURI.
 
Kwani dushe kusimama ina tatizo gani? Inabidi ukapime "testosterone". Hakuna mwanaume aliyekamilika bila siku kupita asiwaze kugegedana.
Dushe sio tu kusimama litakuwa refu mpaka unaweza kulitumia kupigia selfie, na maza ako anakuwa amewekwa kwenye hema na mwanaume anadushe na wanawake wengine 72 , katika pitazako huko kwa jannah unakutana nae machine yako ndo hivyo hailali milele
 
huyo God ni man made yaani aanze kuniuliza maswala Kama Hayo kivipi Aisee
Mnasema anaujuzi wote na nguvu zote na anafanya kitu chochote Kwa muda wowote kwanini asije niuliza hata Leo ?
Ajitokeze anithibitishie kua yeye sio Fiction character Ili asikae na kinyongo mbaka judgement day mnayosema ndio anihoji maswala ya Leo!
Huyo unayemsema kihivyo hayupo na hatakuawepo kamwe ni hekaya za wayunani tu Hizo!
we mwana kulitafuta,
utalipata acha masihara na sir God
kabisa
 
Ok,na MUNGU pia alitokana na nini?

thinking.png
 
suddenly the point of light raise from know where become hotter as time goes exapand then explode the life sequensing start there. 😅😅😅😅😅 wote hatujui lakin hii ndo best world point
hapo mwanzo palikua na neno.
 
aya bana kipindi hicho tunakula mema ya mbingu
ukiomba uwe pamoja nasi, sisi tutakukataaa
 
Kabla hujafikiria MUNGU ametokana na nini, nitakuliza wewe umetoka na nini?

Mwili umetengeneza na chembe chembe zinaitwa cell , lakini cell moja ina weza kuishi kama kiumbe ambaye ni mdudu yani kama bacteria nao ni cell. Je Mambo hayo yote yalitokea kwa bahati mbaya.

Kwa mtu ambaye amesoma physics na chemistry ya O Level bila kukariri yani mwenye mifano hai au anajua kukielezea alichokisoma basi kupitia sayansi unaweza kujua kuna Mungu , sayansi hii nayosemea siyo sayansi ya theory ya zamani bali sayansi practical kuna maswali ambayo yanadhihirisha yupo Mungu

Gravitational force na Atmospherical pressure navyo vilitokea kwa bahati mbaya?

Shughuli zinazoendelea mwilini mwako ( kama msukumo wa damu, utoaji wa virutubisho katika chakula ulichokula na kukufanya kuwa nguvu na kulisha seli ) bila ya wewe kiendesha

Mechanism zinazofanyika katika mimea yani utadhani labda wanaubongo kama wa binadamu ( utafutaji maji kwa mimea , utafutaji mwanga , mimea ambayo ni predator - inayokula wadudu kama nyuki ), nao ilitoka kwa bahati mbaya?

UKIWEZA KUJIJIBU MASWALI MADOGO MADOGO KAMA HAYO ITAKUA VIZURI
Hayo mambo yote ya Gravitational force,atmospheric pressure hali ya ukuaji wa kustaajabisha wa mimea,wanyama na wadudu,sisi sote tunashindwa kung'amua ni nini chanzo cha yote haya?

Naungana na wewe kwamba MUNGU yupo, lakini naamini kuna natural power behind the creation of this world, hiyo power ndiyo Mungu mwenyewe.

Kama vilivyotengenezwa virusi vya corona, kwa sasa vipo na kuna kipindi kinakuja vitatoweka, na sisi hapa duniani kuna mighty power fulani ilisababisha uwepo wetu,na utafika wakati kizazi chetu chote kitapotea.
 
Dushe sio tu kusimama litakuwa refu mpaka unaweza kulitumia kupigia selfie, na maza ako anakuwa amewekwa kwenye hema na mwanaume anadushe na wanawake wengine 72 , katika pitazako huko kwa jannah unakutana nae machine yako ndo hivyo hailali milele
Hiyo itakuwa labda kwenye biblia. Maana inazungumzia hadi Lut kuwalala binti zake na hakuna sehemu anakemewa. Huko nako kutakuwa na picha ya Brian Deacon.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom