Shule zimefunguliwa Jumatatu. Kuanza kuleta takwimu za walioripoti, leo Jumatano ni umbeya mtupu na kukosa kazi ya kufanya.
Takwimu za kuripoti za kuaminika zaweza kutolewa kuanzia mwanzoni mwa mwezi machi hadi mwanzoni mwa mwezi Aprili.
Waache kukururupuka.