Mbinga: Ni 23% tu ya Wanafunzi waliofaulu kidato cha kwanza wameripoti shuleni, Madarasa yabaki tupu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,752
139,552
Wilayani Mbinga mkoani Ruvuma ni 23% tu ya wanafunzi waliofaulu kujiunga kidato cha kwanza ndio wameripoti mashuleni.

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma amewataka viongozi wa wilaya hiyo kuingia mtaani kuwasaka wanafunzi hao na kwenda kuyajaza madarasa.


===
Kati ya wanafunzi 2,361 waliotakiwa kuripoti kuanza masomo ya kidato cha kwanza katika wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma ni wanafunzi 551 tu ndiyo walioripoti shule sawa na asilimia 23.3 tu.

Chanzo: ITV habari

 
Shule zimefunguliwa Jumatatu. Kuanza kuleta takwimu za walioripoti, leo Jumatano ni umbeya mtupu na kukosa kazi ya kufanya.

Takwimu za kuripoti za kuaminika zaweza kutolewa kuanzia mwanzoni mwa mwezi machi hadi mwanzoni mwa mwezi Aprili.

Waache kukururupuka.
 
Hapa nakumbuka Ndugai, fedha za tozo zilitosha kukabiliana na uhaba wa miundo mbinu ya elimu! Ndio maana walipitisha watake wasitake!
 
CCM WAMEUA KAHAWA CCM WAMEUA ZAO LA MAHINDI HALAFU HUYO MWANAFUNZI ANAKWENDA NA MAHITAJI GANI
 
Within no week of reporting someone brings here these nonsense
It is ridiculous
Hahahaaa.
Ukienda huki taarifa ukirudi kule taarifa. Ukikaa kidogo taarifa ya taarifa. Mradi waonekane wanafanya kazi kwa bidiii kumbe nonsense.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom