Mbinga: CCM chali, CHADEMA kidedea

Hata wakati wa Nuhu walishindwa kuzuia mvua wakasombwa na mafuriko.
 
This is good news! Perfect weekend. Ahsanteni sana wapiga kura wa kijiji husika hapo mbinga.
 
Kama kawa...
Akiamka usingizini hata hafuti miudenda ye anachojuwa ni kusema ''ndiooooooooo''

ha ha haaa!kuna siku atajisahau akiamka toka mbonji badala ya ndio mh spika tutasikia ndioo mh Lulu!
 
Kwani CHADEMA ipo hadi Mbinga! Kule nako kuna wachaga au udini,kina ritz,chama magamba nk hebu toeni ufafanua wa ushindi huo.Harafu hoja mnapita kama hamuioni kimya.
 
kazi inaendelea Mungu aliwa upande wako kila kitu kinawezekana,tulianza na Mungu tunamaliza na Mungu
 
kitaeleweka 2 mdogo mdogo aise
Pipoz power.......
Nguvu ya uma cku zote inatenda haki arifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…