Mbezi safarini Arusha

amu uko wapi tukutafute? kama unamaind kuku-choma umefika. ongea fasta kabla kabla hatujaenda Narok!

nilitakiwa niondoke leo asubuhi bt nimechoka sana nikasema leo nilale nipumzike tu
safari kesho
 
Last edited by a moderator:
Cheamani nimekwambia hadi uwe bukudi, kazi tunayo! Mimi na sweetlady wapi na wapi? Nimejituliza kwa wife wangu marejesho wala sina mawaa. Tumeunganishwa na si wawili tena!

ngoja niwe mstaarabu
Filipo leo sijaondoka si unajua ushamba wa mji nikataka kila sehemu matokeo yake uchovu sana
sasa leo ni siku yangu ya kupumzika safari ni kesho
inshaallah
 
Last edited by a moderator:
Mungi sijaonana nae hiyo gari yake ina masharti imenishinda
line police nimeshindwa kwenda nitaenda kesho
amu imekuwaje tena? haya masharti niliyafanya magumu kwa sweetlady tu, manake najua hawezi kuyatekeleza
 
Last edited by a moderator:

marejesho mwenyewe anaugulia kisirisiri basi tu hasemi! PJ Filipo hapendeki bana, ana mcho mia mia! Nimeamua kujiweka pembeni kuliko kufa kwa presha
 
Last edited by a moderator:
Cheamani nimekwambia hadi uwe bukudi, kazi tunayo! Mimi na sweetlady wapi na wapi? Nimejituliza kwa wife wangu marejesho wala sina mawaa. Tumeunganishwa na si wawili tena!
Hahahahahaha! Eti huna mawaa tehe tehe! Una sifa za kirangi wewe!
 
Last edited by a moderator:
uuh....hivi tuliishia wapi....? mgeni alifika...? any updates............
Yeah, mgeni alifika Preta na Filipo alimpokea kwa upendo, update zaidi atakupa anko wako Mungi manake yeye ndie alikuwa na mgeni jana jioni.
 
Last edited by a moderator:
he he....kuna aina mbali mbali za ndani....sasa yupo mojawapo....?
Hahahaha! Nimeenda sentro kumpelekea ugali hayupo, nikashuka kituo cha ungltd nako holaaa, hapa naelekea kituo cha USA , nikimkosa najua umemweka ndani ileeeee unayomwekaga mtu chake!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…