Makanga wira INA wene .....Kuna msemo kuwa ukiona mji hauna Round about/keep left basi ujue huo ni mji jina tu. Kama ilivyokuwa kipindi manyara inapewa hadhi ya kuwa mkoa watu walihoji ni vip makao makuu ya mkoa/Babati kusiwe na round about! !!!!!!
Hakika ni fahari kwetu wakazi wa mbezi kwani ni dalili njema kuwa mbezi itakuwa na hadhi ya juu kuliko Kimara, Ubungo nk. Hasa soko kuu na stand ya mkoa zitakapojengwa mbezi.
Asante Rais wetu Magufuli . Asante Mkuu wa mkoa Mh Paul Makonda.
Tulishakula sana zaidi ya miaka hamsini, tufike mahali sasa tuseme"imetosha".Utakula Round About??????
Mlugaluga ? Njoo uone pichu ikivuliwa skin tight ikopalepale na uroda ushaliwaIla wakazi nao wanatakiwa kwenda sambamba na mabadiliko. Yaani wabadilike kifikira. Sio wanabaki kuwa walugaluga. Wawe wajanja. Siokudanganywa ki
Round about ni chakula kizuri sana...hujawahi kula hii kitu?Utakula Round About??????