Mbezi Mwisho palivyonitoa ushamba

Wewe Bado Wewe Bado ni mshamba na ushamba haujakitoka
 
Hapa mkuu unaeza zunguka siku nzima mpaka mafuta yakuishie na bado usijue njia ya mguu kuelekea petrol station ni wapi.
 
Pale pale mkuu huna haja ya kurudi nyuma kana unarudi goba ukizunguka ike round about fanya kama unaifata stand ya dala dala kuna kamchepuko kapo kushoto unashuka nacho unaenda kutokea round about ya stand ya dala dala then round about ya maramba mawili nduki nene.
 
Mkuu kwa mbele pale kuna kimchepuko kushoto ila ukiwa wenge sio rahisi kukiona kabisa mi ndio huwa nakitumiaga hicho.
Kimekaa kikuda kuda sana kile kimchepuko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu kwa mbele pale kuna kimchepuko kushoto ila ukiwa wenge sio rahisi kukiona kabisa mi ndio huwa nakitumiaga hicho.
Kimekaa kikuda kuda sana kile kimchepuko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Smartphone mnazo lakini hamtaki kuzitumia. Ukiona huelewi pale kwenye zile barabara tumia Google map!
 
Pole Mkuu.
Kweli kinachotumika hapo ni uzoefu.

Kama nakuona ulivyohangaika[emoji16]
Usipopita barabara ya magufuli terminal,ni mtihani kuikamata barabara ya Kinyerezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe tupo wengi, me pia kuna siku nimetoka njia ya Goba naenda Tabata..
Mbona jasho lilinitoka...
Sitaki hata kupasikia.
Panachanganya sana
Hapo hadi uzunguke hiyo r.about ya Goba,uwe kama unaenda magufuli Terminal,ukate kushoto uvuke daraja
Ndipo uipate barabara ya Malamba[emoji119]
Complications kama zote.

Mgeni hatoboi kiurahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwako tuu ni wengi tuu kwa mara ya kwanz lazm utulze kichw kdogo , au uzunguke mara mbili
 
hakuna vibao?
 
Ukikosa kile kinjia mchepuko unaenda mpaka juu kule,zunguka ile round about rudi tena kule chini
Mkuu kwa mbele pale kuna kimchepuko kushoto ila ukiwa wenge sio rahisi kukiona kabisa mi ndio huwa nakitumiaga hicho.
Kimekaa kikuda kuda sana kile kimchepuko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…