Pako poa sana sisi wakaviHope mko salama
Nina muda mrefu sana sijapita mbezi mwisho nikiwa nadrive mwenyewe.
Sasa leo nmetoka kibaha uelekeo ukiwa ni tabata na lengo nipite hii njia ya maramba kinyerezi kisha tabata.nilipofika mbezi mwisho pale ile sijui niite ni round about au ni kitu gani.
Nimehangaika sana yani,mwisho wa siku nikafanikiwa baada ya mahangaiko mengi.
Ugeni na ushamba wa barabara hii umechangia lakini pia hapo kuna jambo itabidi lifanyike maana kinachotumika kwa madereva hapa ni uzoefu tu.
Serikali inaweza ona namna ya kuweka interchange hapo hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamenichanganya sana leo hapo leoYaani panaboa kinoma, ukikosea tu utaenda mwelekeo sio
Pamenifunza lakini pamekaa kijinga sanaPole Sana
MMjini Shule Umeshajifunza
Hamna kitu mkuu, pale wanatumia uzoefu tuKwani hakuna zile alama za kijani ambazo maranyingi hutumika kuelekeza au kuonyesha muelekeo wa barabara.
Sasa mkuu hapo lazima mtu uwe mwenyeji, kama ni mara ya kwanza lazima uteseke kama mimi.Kama unatokea kibamba ukifika kwa yusuph ingia kushoto kuna kibao wameweka kisha mbele kidogo kuna roundabout ingia kulia kama unaenda stedi ya Magufuli mbele kidogo utakuta roundabout nyingine ingia kulia endelea tena utakuta roundabout nyingine ingia kulia mbele tena kuna roundabout ingia kushoto nyosha moja kwa moja utatokea kwenye junction ya kwenda maramba mawili.
Hapo mbunifu alichemka sana...haielewwki ni kitu ganiHope mko salama
Nina muda mrefu sana sijapita mbezi mwisho nikiwa nadrive mwenyewe.
Sasa leo nmetoka kibaha uelekeo ukiwa ni tabata na lengo nipite hii njia ya maramba kinyerezi kisha tabata.nilipofika mbezi mwisho pale ile sijui niite ni round about au ni kitu gani.
Nimehangaika sana yani,mwisho wa siku nikafanikiwa baada ya mahangaiko mengi.
Ugeni na ushamba wa barabara hii umechangia lakini pia hapo kuna jambo itabidi lifanyike maana kinachotumika kwa madereva hapa ni uzoefu tu.
Serikali inaweza ona namna ya kuweka interchange hapo hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Barabara Nyingi Za Hovyo Hovyo Pale
Ni mateso kwa mtu anaekwenda Maramba au GobaHapo mbunifu alichemka sana...haielewwki ni kitu gani
Hapo lazima uvurugwe kwakweliKumbe tupo wengi, me pia kuna siku nimetoka njia ya Goba naenda Tabata..
Mbona jasho lilinitoka...
Sitak hata kupasikia.
Unaweza kunyoosha hadi Ubungo.Yaani panaboa kinoma, ukikosea tu utaenda mwelekeo sio
Kama unatoka Kimbamba kutoka kwa Yusuph hadi njia panda ya Goba kuna round about sitaHope mko salama