Mbezi mwisho ingejengwa hivi, Tanroad wangepungukiwa na nini?

Kuna project naiona inaendelea pale siielewi, ni kama flyover inajengwa pale, either mbili au moja nimeona. Kuna upanuzi wa barabara ya kwenda na kutoka kwa magufuli. Kama una hints toa tuone kinachoendelea.

Nashindwa kuelewa kwa nini kuna project inaendelea na hakuna mchoro popote yaani bango kuonyesha nini kinafanyika.
Ni kituko tu kinafanyika pale mkuu kwa kujenga kivuko cha waenda kwa miguu. Watoe wapi akili ya kujenga flyover?
 
Ni kituko tu kinafanyika pale mkuu kwa kujenga kivuko cha waenda kwa miguu. Watoe wapi akili ya kujenga flyover?
No, naamini ni flyover, zinajengwa mbili..kule kwa Yusuf na hapa njia panda ya Goba..naamini inaweza kuwa kama ya Kibamba, simple tu. Muhimu ikidhi mahitaji.
 
Walishawahi kuonyesha nini kinafanyika? Ubungo kulikuwa na michoro kila kona, Tazara likewise, Kibamba pia..mbona Mbezi mwisho wasiweke. Mkuu kanuni za construction tunazijua.
Kiufupi kwa mbezi mwisho wanaona aibu kwa walichofanya....watu wakipiga kelele ndo wanakuja na maboresho mapya...sasa hiyo ni akili au matope
 
No, naamini ni flyover, zinajengwa mbili..kule kwa Yusuf na hapa njia panda ya Goba..naamini inaweza kuwa kama ya Kibamba, simple tu. Muhimu ikidhi mahitaji.
Baada ya makelele mengi ndo wanagundua walichemka basi...maana ni aibu kabisa kwa walichokua wamedesign pale mbezi....mara kibao jioni nimekaa foleni zaidi ya masaa matatu tena ni last month tunimekumbana na hiyo...foleni njia zote hadi stendi ya magufuli na ya daladala hakuna gari inayoingia wala kutoka..abiria wanashuka wanatembea. Hovyo kabisa hawa Tanroads na nadhani hamna mwenye upeo pale
 
Kwa kweli pale wanaungaunga kama sisi wamachinga tu, yaani nchi hii kuanzia uongozi wa juu hadi mtu mmoja mmoja ni maisha ya kuungaunga tu
Ona wenzetu wanavyofanya mambo ya viwango,afu unakuta Mwendazake anajipiga kifua eti anaonewa wivu na Dunia,kama sio WEhu ni nini 😆😆.

Ghana

Screenshot_20220201-102028.png

Screenshot_20220201-101953.png

Screenshot_20220201-101717.png
 
Wanaficha utadhani uganga wa kienyeji
Hii structure kwa pale ubungo isingetosha, kwa Mbezi nakubaliana na wewe kuwa inafaa sana na itapunguza foleni kwa asilimia 100. Ubungo tayari ilishabanwa na hiyo structure inataka space ya kutosha.

Nimeona kuna kazi inafanyika Mbezi, bahati mbaya wakandarasi wapo site bila mabango kuonyesha nini kinajengwa, sijui kama ni sawa katika Ujenzi.
 
Baada ya makelele mengi ndo wanagundua walichemka basi...maana ni aibu kabisa kwa walichokua wamedesign pale mbezi....mara kibao jioni nimekaa foleni zaidi ya masaa matatu tena ni last month tunimekumbana na hiyo...foleni njia zote hadi stendi ya magufuli na ya daladala hakuna gari inayoingia wala kutoka..abiria wanashuka wanatembea. Hovyo kabisa hawa Tanroads na nadhani hamna mwenye upeo pale

Jamani muache uongo uongo huu hauna kipimo mbezi hakuna foleni ya mtu kumkarisha masaa matatu.....hata kama unatokea stand tuache uongo....watu tunatumia hii barabara hakuna foleni ya masaa matatu mbezi louis huu ni uongo uongo uongo
 
Ujenzi gani hauna hata bango
Mkuu kama wewe ni mkazi wa jijini kama unafika mbezi mara kwa mara utakubaliana na mimi kabla ya kufika karibu na kwenye makutano ya njia panda kwenye goba kuna ujenzi unaendelea na si ujenzi mwingine bali ni fly over kwaajili ya magari ya kwenda goba na mpiji magoe pia
 
Upo vizuri
Mkuu kama lengo lilikuwa ni kuondoa foleni hata ubungo ingekaa , kumbuka walibomoa jengo la Tanesco it's

Usihofie hizo rounds nne , huwa zinapunguzwa kipenyo na ku compromise vehicle speed, kadiri zinavyokuwa kubwa ndio magari yatazidi kupita na speed, ukipunguza maana yake magari yaipte na mwendo mdogo
 
Mbezi wameiharibu hata kile kidaraja cha kwenda stand ya daladala ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi, stand ya daladala ilitakiwa iwe sehemu ya stand ya magufuli ili kuondoa movement za watu zisizo za lazima..
Baada ya makelele mengi ndo wanagundua walichemka basi...maana ni aibu kabisa kwa walichokua wamedesign pale mbezi....mara kibao jioni nimekaa foleni zaidi ya masaa matatu tena ni last month tunimekumbana na hiyo...foleni njia zote hadi stendi ya magufuli na ya daladala hakuna gari inayoingia wala kutoka..abiria wanashuka wanatembea. Hovyo kabisa hawa Tanroads na nadhani hamna mwenye upeo pale
 
Sasa subiri kituko kitakacho jengwa hapo

Hakuna kituko chochote kila mradi una gharama kulingana na mahitaji ya mteja ....usione vya elea vimeundwa....kulalamika ni rahisi sana....subiri uine mbezi itakavyo pendeza
 
Hakuna kituko chochote kila mradi una gharama kulingana na mahitaji ya mteja ....usione vya elea vimeundwa....kulalamika ni rahisi sana....subiri uine mbezi itakavyo pendeza
Project manager !
Looks like huna exposure as to how wenzetu wanajenga super highways
Hebu nenda hapo nairobi uone Kenha walivyojipanga , wala usiende kule Thika highway maana hiyo ni level nyingine , nenda hii bypass ya kutoka mlolongo kwenda limuru, hii kwa urefu inalingana sana na kibaha ubungo 20+ kms
Utarudi hapa mikono juu
 
Jamani muache uongo uongo huu hauna kipimo mbezi hakuna foleni ya mtu kumkarisha masaa matatu.....hata kama unatokea stand tuache uongo....watu tunatumia hii barabara hakuna foleni ya masaa matatu mbezi louis huu ni uongo uongo uongo
We unakata nini mkuu? unakaa Mbezi? Majuzi tu hapo tarehe 24 Dec kuamkia Christmas watu tumekaa zaidi ya masaa matatu..mi nilikwama kuanzia msuguli nikatembea hadi mbezi nipande gari za njia ya goba...kote hazitembei kuanzia stendi ndani,njia ya stendi ya magufuli pia gari zote hazitembei wala hamna basi linaingia watu wametanua njia zote zimeumanaa. Ukija njia ya goba hakuna gari inatembea foleni imeanzia mageti. Watu wanatembea kwa miguu tu hata bajaji hazitembei kote gari zimetanua zimeumana. Tafuta nyuzi humu utaona au uliza mtu anaekaa pande hizo msala wa tarehe 24 na wala si kwamba kulikua na ajali njia ikazibwa. Kuanzia sa mbili kasoro hadi sa tano
 
Unacho kiandika hapa tayari ni kituko, mmepoteza pesa nyingi kujenga vitu vya aajabu ajabu tuu.. pesa mliyopoteza kwenye maround about ingetosha kabisa kujenga kitu kizuri..
Hakuna kituko chochote kila mradi una gharama kulingana na mahitaji ya mteja ....usione vya elea vimeundwa....kulalamika ni rahisi sana....subiri uine mbezi itakavyo pendeza
 
Here we have 'paper engineers'
Angalia Tazara foleni iko pale pale.
Angalia Jangwani makao makuu ya UDART ndani ya miaka miwili pamefunikwa na mchanga yaani pamezikwa.
Mbezi Ni kituko. Kuna siku foleni Mbezi inafika saa Saba usiku.
 
Sio foerver mkuu , just matter of time , tutakuja kujua tulikosea , kumbuka wanaopita salama na kwa uhakika pale ni directions nne tu , kati ya 12 zilizopo, kwa maana ya kuwa directions nane( 8) bado zinategemea taa, put it simple zile flyover kitaalamu hazijatatua hata nusu ya tatizo kwenye junctions, ndio sbabu Tazara panasumbua na hata ile ya uhasibu ikikamilika bado foleni itasumbua.

Uzuri internet haisahau , huko mbele lazima tujenge kwa mfumo sahihi
flyover ya uhasibu ni takataka
 
Back
Top Bottom