Mbezi, Dar: Wanafunzi Mbezi Primary School hawana madawati

Si uende mbezi ukahakikishe alafu uje uombe radhi unaemuita mchochezi...maarifa zero

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
Hapana acha lugha chafu. Hiyo picha iliyotumika ndiyo Hiyo? Kwa nini atumiwe picha tofauti? Kizazi kisichowezakujenga hoja! Jifunzeni kujenga hoja yenyewe vielelezo sahihi. Inawezekana shida ipo Tena Kubwa tu lakini utoaji taarifa feki. Wasomaji watahukumu hoja zako Na zangu nani zero! Umetoa taarifa Halafu unapiga yowe kuniambia niende Mbezi ina maana umeshindwa kujenga hoja. Hivyo Kila mtu aende mbezi? Duhh!
 
Ficha ujinga kijana.

Miaka 60 baada ya uhuru unaongea ujinga kama huu?

Singapore au Korea Kusini zina miaka sawa na sisi, nenda katafute kama kuna nyumba ya udongo au wananchi wanakunywa maji yenye matope.
Hakuna taifa hapa duniani lililowahi kutatua changamoto za wananchi wake kwa mara moja (overnight)

Taratibu tutafika.
 
Acha ujinga wewe. Ukiambiwa elewa. Unaleta habari kijinga na hata Kama ni ya kweli hakuna madawati, huwezi kuaminika kwa sababu unaleta habari kijinga mno.

Halafu ugeni humu JF nao unakusumbua pia.
sikia wewe zuzu,ujinga ulionayo ni ya generation yako yote, I pitty you. Katafute kitu ufanye sio kuwa na hasira na watu huwajui, stress nazo zitakuua. Byee mjinga wa ukoo wenu

Hata nisingekuwa mgeni, inakuhusu? Hampendi kusikia tofauti na mnavyopenda ee... go hug transformer ufie huko.
 
kuiondoa CCM madarakani ndiyo suluhu ya matatizo kama haya, ma-CCM yakisha ondoka madakani mambo madogo madogo kama haya yatajipanga yenyewe
 
Je hawa watoto sio wa Tanzania yetu? Naona mjadala umegeuka kuwa sio Mbezi, ni wa nchi gani? Kama ni hapa hapa Tz, je hali hiyo inakubalika? Kwambacsi Mbezi wakae juu ya madawati, na wa kusikojulikana wakalie tofali?
 
Inasikitisha sana hadi sasa hivi hapa mjini Dar es Salaam kuna wanafunzi wa shule za msingi bado wanakaa chini hapa hapa mjini.
Ni aibu sana kusikia kwamba shule ya msingi Mbezi Luis wanafunzi hawana madawati.

Disclaimer: Picha sio ya shule iliyopo mjini

View attachment 1579456

Magufuli anatumia mabilioni ya fedha za umma kujenga international airport Chato. Watoto wetu tena mjini wanasoma kwa kukaa juu ya mawe. Hii laana.
 
Yawezekana ni kweli hawana au la.Shule nyingi Tu hapa mjini zina uhaba wa madawati kuanzia primary hadi secondary.Chamsingi kuzidi kuwasumbua viongozi husika watatue hizo kero.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndani ya miaka 50 wenzako mnaolingana kimri wametatua shida zao.

Nyie mmeshindwa vipi?

Wanafanya mzaha kwenye maisha ya watu hao. Uzuri ni kwamba waTanzania sasa wanajielewa sana na wanajua kinachoendelea.
 
Flyover,sijui bombadia,Mara SGR,mara sijui ufuzi gani,lakini ona watoto wanavyoteseka.Hata kama sio shule ya msingi mbezi lakini ukweli ni kwamba kuna shule za kutosha tu madogo wanakaa chini
 
Mbona kuna shule zina madawati huwa hamsemi? Hakuna taifa hapa duniani lililowahi kutatua changamoto za wananchi wake kwa mara moja (overnight)

Taratibu tutafika.
Mara moja moja uandike ukitumia ubongo ulio kichwani sio ule wa tumboni mwako.
Miaka 58 ya Uhuru? Shule iko Dar haina dawati halafu unatetea? Wewe Ni tetea wa ukweli.
 
Muongo Huyo hakuna mbezi shule ya msingi yenye jengo kama hill hiyo picha kaiokota mitandaoni akaitupia hapo

Mleta mada mpuuzi
Siku nyingine usome mpaka mwisho kabla hujakurupuka na vizuri ukaacha matusi. Hii itakusaidia hata mbele za wakwe wako. Sawa mpwa?
 
Serikali haiwekezi kwenye elimu pia hata kuwekeza kwenye miundombinu ya elimu imeshindwa.
 
Mbona kuna shule zina madawati huwa hamsemi? Hakuna taifa hapa duniani lililowahi kutatua changamoto za wananchi wake kwa mara moja (overnight)

Taratibu tutafika.
... how long is overnight Chief? Since December 1961 the overnight seems not to come to an end! An overnight that is approaching 60 is a prolonged one!
 
Back
Top Bottom