Latrice
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 2,389
- 2,369
Huyo jamaa huwa anajiona ni GT sana kumbe mpuuzi fulani tu anayepaswa kupuuzwa.Kwanza kuwa na shule yenye jengo kaburiwazi km hilo ni uhayawani mkubwa sana, achilia kukosa madawati.
Ukitetea ujinga km huo, sijui utakemea kipi kingine!!!!