MENISON JF-Expert Member Joined Apr 26, 2013 Posts 726 Reaction score 623 Jun 19, 2019 #1 Habari? Nina mtoto wa kike F1 namhamisha toka Mtwara nikae nae hapa Dar , kati ya shule hizo mbili nimpeleke ipi? Ada nimeuliza najua ila waliosoma hizo shule tupeni mazuri na mabaya, nasikia Makongo na boarding ipo. Kitaaluma zaidi na nidhamu
Habari? Nina mtoto wa kike F1 namhamisha toka Mtwara nikae nae hapa Dar , kati ya shule hizo mbili nimpeleke ipi? Ada nimeuliza najua ila waliosoma hizo shule tupeni mazuri na mabaya, nasikia Makongo na boarding ipo. Kitaaluma zaidi na nidhamu