Mbeya: Watoto wamchoma moto mama wa kambo

Mbeya: Watoto wamchoma moto mama wa kambo

Hapo maam wa kombo roho yake kwatu kabisa mpaka hao madogo watoke nyumba ishapigwa mnada..
Kwatu! Wakat kaharibiwa reception na morphology ya kulia Bata ,unadhan kwasasa atakuwa na jeur ya kula Bata Kama mwanzo ,au Kuna mwanaume atamshobokea mtu mwenye makovu mwili mzima?

Hapa mm naona madogo ndio wamelamba dume ,maana watapelekwa jera watatumikia then watatoka ,na huyo mama kwasasa hawez kuuza hiyo nyumba itakuwa chini ya uangaliz wa mahakama ,na Kama ikibainika kweli alikopea hiyo nyumba bila kushirikisha hao watoto ajue Hilo Deni lazima alilipe yeye kma yeye.

Mahakama itaamuru nyumba ibak kwa ajil ya familia na yy akitaka kuishi humo aishi Ila sio kuuza maana Kuna watoto ,Sasa atachagu moja aishi humo au asepe ,na wale vijna wakipata mtu wa kuwapambania huko jera wataa miaka miwil Kama sio mmoja watarud uraiani na maisha yataendelea fresh tu.
 
Mtoto Miaka 20
Mtoto Miaka 24
Mama Miaka 26
Kuna jambo la kujifunza je baba alikuwa na umri gani?
Hujui utamu wa K ukiwa 50 na binti 20! Ni watamu kweli ila machungu yake ni kama ulivyosoma
 
Hahahahaha.......kwa kweli sijui kama nitamwita. Ila haya mambo ni magumu, marhemu mzee Mengi alivutaga Kyline mwenye umri sawa na watoto wake wa mke mkubwa!

Mara nyingi baba akioa kabinti mwenye umri sawa na watoto wake anakosa heshima kutoka kwa watoto na kwa jamii kwa ujumla! Watoto wakishakuwa wakubwa, usioe tena lkn kula maisha polpole na masimbe.
Kwanini umpamgie babako starehe Mara heshima Mara oooh. Heshimuni baba zenu na maamuzi ya starehe zao ngoja mkue
 
Mkuu mawazo yako hayo ni hatari sana.

Tena unatakiwa kufanyiwa brain wash ili kukuondolea makandokando yaliyopo kichwani mwako.

Ina maana 'title' ya mtu inaendana na umri, are you serious?

Ungelikuwa kwenye majeshi ungelipata tabu sana, maana kijana mdogo makamo ya mwanao ndiyo boss wako anayetakiwa umnyenyekee ukiwa attension wakati ukimpigia saluti!

Labda nikuulize, babako akioa kasichana kadogi unakokazidi umri hauwezi kukaita 'mama' kwa unyenyekevu?
Inaonekana nawe ni shabiki wa watu wanao oa watoto au wajukuu zao. Mtu mwenye akili timamu hawezi ingilia watoto au wajukuu zake. Binafsi ikinitokea baba anafanya hivyo(japo probability is zero) sitafika home tena.
 
Kwanini umpamgie babako starehe Mara heshima Mara oooh. Heshimuni baba zenu na maamuzi ya starehe zao ngoja mkue
Hahahahahaha .......maamuzi ya wazee nayo yanamipaka. 'They are not free to that extent'
 
Inaonekana nawe ni shabiki wa watu wanao oa watoto au wajukuu zao. Mtu mwenye akili timamu hawezi ingilia watoto au wajukuu zake. Binafsi ikinitokea baba anafanya hivyo(japo probability is zero) sitafika home tena.
Mkuu onesha popote, iwe kwenye maandiko matakatifu, mila, kabila, popote pale tu palipobagua watu kuoana kwa kufuata umri.

Mwanamke akiwa mature enogh, ie 18 yrs etc akawa si mwanafunzi wa shule ya msingi ama sekondari ana hiari, ya kuolewa na mwanaume asiye ndugu yake mtu mzima kuanzia miaka18 na kuendelea.

Tena sheria za ndoa za mwaka71', zimefafanua vizuri umri wa msichana kuolewa,ni kuanzia miaka 15 kwa kibali cha wazazi wake.

Sema kama ulivyosema wewe binafsi hauwezi kufanya hivyo wala kuunga mkono hayo basi sawa una uhuru wa kujiamria na kujichagulia style ya namna ya kuyaishi maisha yako.

Lakini wengine wanayafanya hayo hayo usiyoyapenda wewe kwa sababu ni halali na si haramu.

Unachokiwaza wewe na kukifanyia kazi, usitegemee kila mtu akafuata mawazo yako hayo.

Sasa basi kwa kuwa jambo lililoongelewa si haramu na wewe haulipendi, ungepiga kimya ukaacha kulaumu watu wengine wenye kupenda mfumo huo wa maisha eti kwa kuwa tu wewe binafsi mtu mmoja haupendi, never on earth.
 
Hahahahahaha .......maamuzi ya wazee nayo yanamipaka. 'They are not free to that extent'
Kua uyaone unampangiaje mtu aliyekuzaa imagine ingekuwa kwenye situation yake naye ni binadamu anahitaji mtu wakuliwazana
 
Kua uyaone unampangiaje mtu aliyekuzaa imagine ingekuwa kwenye situation yake naye ni binadamu anahitaji mtu wakuliwazana
You are right. Lakini siyo aliwazwe na kabinti ka umri wa watoto wake; 20s. Angalau atafute 45 plus! Wa umri huo ni rational na atakuwa mlezi wa watoto pia not under age kama huyo.
 
Back
Top Bottom