Mbeya wamtaka Tundu Lissu

Mbeya wamtaka Tundu Lissu

Ile mbinu yenu ya kuanzisha migogoro kwenye Vyama vya Upinzani imefikia wapi?

Naona NCCR mumeisha imaliza kabisa.

CHADEMA ni Taasisi IMARA haipenyeki chini ya Uongozi wa MWAMBA.
Unao uhakika na unayo yaandika hapa?
CHADEMA tayari anashambuliwa na kirusi mpya kabisa, achana na COVID-19; hiki kilichotengenezwa huko CCMSamia kuimaliza CHADEMA ni kirusi cha pekee kabisa.

Najua watu wa aina yako, ndani kwa ndani ni kama 'carriers' wa kirusi hicho ili kukieneza haraka haraka huko CHADEMA.
Lakini najua hutakubaliana nami juu ya hili.
 
Najua watu wa aina yako, ndani kwa ndani ni kama 'carriers' wa kirusi hicho ili kukieneza haraka haraka huko CHADEMA.
Lakini najua hutakubaliana nami juu ya hili.
Tokea lini nimekuwa Trojan Horse mimi ni CHADEMA damu.
 
Back
Top Bottom