Baada ya wizara ya elimu kutangaza ajira mpya za walimu na kutakiwa kuripoti wilayani, katika hali isiyo ya kawaida kuna mwalimu baada ya kuripoti wilayani apelekwa usiku baa alipokua mwalimu mkuu akipata kinywaji ili ampeleke kituo cha kazi ambapo ni umbali mrefu.
Je ni halali kumkabidhi mwalimu usiku na sehemu ambayo ni ya starehe na si kituo cha kazi, hivi sasa yule mwalimu mkuu ana kesi inadaiwa kuwa alimbaka yule mwalimu.
Je kosa lipo kwa nani hapo mwanajamii mwenzangu mwalimu mkuu au afisa elimu wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya.
Ahsanteni