afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,145
- 9,215
Nashukuru umelitambua tatizo lako .Hizi ni dalili za upungufu wa uelewa kiukweli
Nashukuru umelitambua tatizo lako .Hizi ni dalili za upungufu wa uelewa kiukweli
Unauhakika kama picga hiyo ilisababishwa na walimu husika??
Ok tuseme uelewa wako mdogo basi.
Je hata sentensi ya yeye kukimbilia kwa majirani je alikua na nguo zake au alizibwaga zile nguo hapo ofisini??? Hapo maelezo hayakujitoshereza, hakuna sentensi haa moja ya ushahidi kutoka kwa jirani aliyemuhifadhi.
Je ingekua wewe mtoto huyu akaja kwako hivi ubakaa nae siku nzima kuanzia asubuhi mpaka jioni yuko kwako na ungechukua hatua gani??
Je hatujaambiwa jirani alichukua hatua gani na alikua wa jinsia gani, cha kushangaza ni mleta maada kutuacha na maswali mengi yasiyi na majibu
Mwalimu mkuu
Mwalimu wa nidhamu
Na nwalimu adili
Pamoja na mwalimu mwingine wa kike
Hivi wote hawa wakae njama moja kwa ajiri ya kumdharirisha huyu binti kusa tu ni utoro wa siku tatu???
Je shule hiyo mtoro alikua yeye peke yaje na kwa nini mpaka mkuu aliingilie??
Embu fikirieni inje ya pazia
Poleni sana walimu
Lakini mi nuwalaumu kwa kutojua kuwa muda wa malezi sasa umekwisha kazi yako ni moja tuu kufundisha haya nengine ziachieni hizi asasi zao
Hivi yamuelewi????
Nikukumbushe iyokazi nilisha achana nayo sababu kama unapassion ya kuwa mwalimu kwa tanzania huto iweza 100% labda kama unaifanya kimagumashi magumashi tu!!!Ninakubali kuwa kazi ya ualimu ni ngumu hasa kutokana na tabia za watoto. Lakini nikuulize wewe kama mwalimu job description yako inasemaje? Kama mwanafunzi haandiki darasani wewe kama mwalimu je unatakiwa umlazimishe? Je, wewe kuchukua simu yake na kuifungua bila idhini yake huoni kwamba uliingilia mambo binafsi yasiyokuhusu? Mimi ningekuwa mwalimu ninapiga chaki tu kazi ya kulea ninawaachia wazazi. Nikukumbushe tu kuwa unachoona darasani ni mwangwi ya kinachotokea nyumbani. Kama wazazi wameshindwa kulea nyie waalimu hamtaweza. Kamata chaki yako jioni nenda nyumbani kapumzike. Kulea waachieni wazazi.
Nikusahihishe kidogo. Sijasema kuwa waalimu hawana nafasi ya malezi ya wanafunzi. Wanalo Hilo jukumu lakini lina limit. Mwalimu anatakiwa kuhakikisha kila mwanafunzi anafuata rules za shule na kuwasaidia kufikia lengo lao yaani kusoma. Wanafunzi wasiofuata rules shuleni ujue hata nyumbani hawafuati rules. So, kama utamtandika ukidhani atabadilika hilo utalisubiri sana. Enzi zetu tulikuwa tunakaa darasani tunasoma kwani hii kitu Internet ilikuwa haijazaliwa. Sasa hivi watoto wako kwenye Instagram sijui Facebook na wana simu mikononi kila siku utafikiri watakuwa na muda wa kusoma ? Naona wazazi nao siku hizi ni wachache wenye muda na watoto wao. Baba, mama na watoto wote wako busy kuchart. Hakuna tena malezi kutoka kwa wazazi. Watoto wanalelewa na Internet. Je, waalimu mtaweza kuwanyoosha? Hiyo ni ndoto!Nikukumbushe iyokazi nilisha achana nayo sababu kama unapassion ya kuwa mwalimu kwa tanzania huto iweza 100% labda kama unaifanya kimagumashi magumashi tu!!!
Unachosema upo sahihi ila kumbuka iyo shule ya uhuru wa namna hiyo haifundishiki!!! Na haitokua shule kamwe bali genge la wahuni!!!! Hayo maisha yapo kwa watu weupe wanao elewa nini wanafanya!!! Wengi wetu sisi weusi ni shida tu!!!
Kuhusu simu kwama kuifungua umeingilia privacy ni sawa kama nimemkuta nje ya shule anaiyo simu na ukamnyang'anya lakini ndani ya shule sheria za nchi zina zuia!! Na anapokua shuleni yuko chini ya uangalizi wa mwalimu ama waalimu!!!! Na anapaswa kufata sheria zote za shule!!!
Unapo ikamata sim ya mtoto na kuiweka ofisini kwamba ndio punshment hapo ninamashaka na uelewa wako juu ya watoto wakitanzania!!!!
Alafu kuutenganisha uzazi na ualimu ndo naskia leo!!
Mwalimu ni mlezi wa mtoto kwa kila idara na ndio moja ya majukumu yake kama mwalimu!!!
Mwalimu anapaswa Kufundisha, kulea na kuimport maaadili ili awe member mzuri kwa jamii!!! Kama ujui mwalimu anapaswa kumhandle mtoto kama mzazi na kwa ukaribu ajue mapungufu na changamoto za mtoto ili aweze kumsaidia kimasomo!!!
Kwa stail hiyo unayo ipropose walimu wakiifaata na uhakika tutakuwa na jamii moja ya ajabu sana!!!!! By the way kaz iyo in frika ni ngum sana!!! Fatilia shule moja MWANZA inaitwaa IGOGO sekondari ipo milimani huko usikie sifa za wanafunzi wa hapo!!! Waalimu walisha achana nao!!!!
Watakuwa wagumba....yaani hao walimu wa kike ndio wamechangia kumuumiza huyu mtoto!, ila ni walimu wa shule ya kata nina, wasiwasi na akili zao!
Je, imetaja waalimu? je mtoto kwako ina maana moja na mwanafunzi? Think before touching your keyboard.Biblia inaagiza,mtoto usimnyime viboko.
Hii inaweza kuwa chai yenye majani mengiii...yaani mwalimu wa kiume amshike sehemu za siri mbele ya walimu wa kike??? Hii si kweli na haiwezekani! Ila kupigwa bakora akavimba, hilo lina ukweli...maana mwili unaongea na hawezi kujichapa mwenyewe!!!hahaa..chezea kushika sehemu za siri..hapo ni kosa
Wewe ulikuwepo wakati anapigwa. Mbona una kisebusebu na kiroho papo!Hata Kama hayo yote hayakutokea Je wewe unaona ni sawa kwa mwanafunzi kupigwa kiasi hicho ?
Je, imetaja waalimu? je mtoto kwako ina maana moja na mwanafunzi? Think before touching your keyboard.
Hii inaweza kuwa chai yenye majani mengiii...yaani mwalimu wa kiume amshike sehemu za siri mbele ya walimu wa kike??? Hii si kweli na haiwezekani! Ila kupigwa bakora akavimba, hilo lina ukweli...maana mwili unaongea na hawezi kujichapa mwenyewe!!!
Je, imetaja waalimu? je mtoto kwako ina maana moja na mwanafunzi? Think before touching your keyboard.
Je, imetaja waalimu? je mtoto kwako ina maana moja na mwanafunzi? Think before touching your keyboard.
Je, imetaja waalimu? je mtoto kwako ina maana moja na mwanafunzi? Think before touching your keyboard.
Je, imetaja waalimu? je mtoto kwako ina maana moja na mwanafunzi? Think before touching your keyboard.
Hao walikuwa na lao jambo
Huo mda watanzania huwa hawana, eti usikilize pande zote mbili ...si unajua ujuaji na stress vimewajaa wabongoland?Kuwashambulia walimu bila kujua upande wao ilijuaje ni utaahira wa hali ya juu,tujifunze kucomment baada ya kupata uthibitisho wa unachotaka kucoment tuache unazi,kwa mfano huyo student alikua anampiga na mwalimu wa kike wenzake wakaingilia kumnusuru mtasemaje?tusubiri majibu kabla ya kukosoa.