MBEYA: Walimu 4 wamvua nguo na kumchapa viboko mwanafunzi huku mmoja akimtomasa nyeti

Hata Kama hayo yote hayakutokea Je wewe unaona ni sawa kwa mwanafunzi kupigwa kiasi hicho ?
Hii ni habari kama habari zingine swali ni kwamba ni ina ukweli wowote??? Sio kukurupuka na kuwashambulia walimu
Wewe huna mamlaka ya kuhukumu embu tuache jazba tuwe na subira tuone hii ni udaku kama zilivyo zingine au inaukweli ndani yake?? Si tu ukurupuke kama unapifa kampeni
 
unanijibu swali kwa kuniuliza swali ? Toa jibu Ndipo uniulize usilete porojo hapa.
Hata Kama hayo yote hayakutokea Je wewe unaona ni sawa kwa mwanafunzi kupigwa kiasi hicho ?
 
unanijibu swali kwa kuniuliza swali ? Toa jibu Ndipo uniulize usilete porojo hapa.
Hata Kama hayo yote hayakutokea Je wewe unaona ni sawa kwa mwanafunzi kupigwa kiasi hicho ?
Tatizo unauliza swali sehemu uliyokanusha

"" hata kama haya yote hayakutokea"" kama hayakutoke yote hata hili la kupigwa halipo.
Sasa kujibu ndio au sio nitakua najibu swali lililokanushwa labda ufafanue kidogo ndipo ntakujibu
 
Hao walimu majipu kabla ya kutumbuliwa wachapwe kila mmoja viboko 20 kabla ya kutumbuliwa ili iwe fundisho kwa walimu wengine wenye viherehere vya kuchapa watoto.
Ukifuatilia kwa makini huyo mwanafunzi ana walakini kwenye maelezo yake. Sina uhakika, ila naweza kuwaza kuwa yamkini mwanafunzi huyo aliadhibiwa lakini si kwa kiwango hicho kinachoelezwa/kuonyeshwa. Kuna uwezekano mwanafunzi huyo amefanya kosa kubwa sana ambalo pengine lingepelekea aidha kufukuzwa shule au kusimamishwa akiwa katika harakati za kuchukuliwa hatua ndio akaamua kutengeneza swala la kunyanyaswa.
Nasema hivyo kwa sababu jambo hilo lilishawahi kumtokea mdogo wangu alifanya tukio fulani shuleni ambalo lingempelekea aidha kufukuzwa au kusimamishwa masomo, mwalimu akiwa katika harakati za kumuadhibu dogo akamsukuma mwalimu wake akaanguka chini akatoroka bila kuadhibiwa akaenda nyumbani akiwa na alama za kuchapwa tena za kutisha mother alijaa uchungu wakaenda na dogo kutoa taarifa polisi, hata mimi nilijaa hasira dhidi walimu wa shuleni japo tabia ya dogo tuliifahamu vyema kwamba ni mkorofi. Swala lilipelekwa mpaka kwa mkuu wa wilaya, mkuu wa wilaya kwa hekima zake hakukurupuka aliagiza uchunguzi ufanyike. Uchunguzi ulifanywa ukiongozwa na afisa utumishi wilaya na afisa elimu akiwa kama ujumbe.
Matokeo ya uchunguzi yalitufanya tuwe na aibu hata kuwatazama walimu wa shule hiyo. Maana hata dogo alikuja kukiri kosa alilofanya pia kwamba hakuchapwa na mwalimu na zile alama za kuchapwa alienda kuchapwa kwingine ili kuua soo iliyokuwepo shuleni. Tuliabika sana mana kuna binamu yetu alikuwa anasoma na dogo darasa moja tulimdadisi lakini akatupa hali ilivyokuwa naye akawa anashangaa kwamba si dogo kapata wapi hizo alama??
My take
(1) Tuwe makini tunaposikiliza malalamiko ya wanafunzi dhidi ya walimu wao. Tusielemee upande mmoja. Najua kwamba wanafunzi hufanya makosa ya kuudhi walimu wao. Lakini hii haitowi kibali kwa waalimu kukiiuka taratibu za adhabu.
(2) Uamuzi juu swala hilo usifanyike bila uchunguzi wa kina.
(3) Tusipende kuwaona walimu kuwa wanyanyasaji kama wengi humu JF wanavyotoa maoni yao. Kuna hatari kubwa sana walimu watakapo susa kuwafunza wanafunzi wetu maadili. Kumbuka walimu si kwamba wana wajibu wa kufundisha masomo yao bali wanajukumu la kuwa wanafunzi katika msingi wa maadili mema.
 
Wenye elimu zao watakuja kukutukana muda si mlefu we subiri tuuu

Hawa wanaowaza kwa kutumia sijui nini huwasukuma kuhukumu watakuja mbio kukutukana kwa ushahidi huu
 
Hiyo tasnia ya ualimu nimeifanya kwa miaka 4 na kufanya maamuzi ya kuachana nayo!!!

Ni kweli uyo mtoto kaumizwa kama taarifa inayosemwa nikweli!!!

Miongoni mwamambo yaliyonifanya kuachana na kazi ya ualimu, ni nidhamu za watoto na tabia zao za skuizi!!!!

Mtawahukumu hao waalimu ila hamjawai ingia darasani mkafundisha!!! Ama hamjawai kukaaa na hawa watoto vizuri mkaziona tabia zao!!!!

Niliwai fundisha watoto wakidato cha 3, darasani mtoto alikua haaandiki baada ya kukagua begi lake la madaftari nikakuta ana ulbum yake ya picha za aajabu ajabu!!! Zilionekana kupigwa nyumba ya kulala wageni

Alikua na smart phone imewekwa kwa skintight!!! baada ya kumlazimisha kutoa parten na kuifungua tulisoma sms zilizomo ndani kama ni mzazi unaweza uka changanyikiwa!!! Ama ukazirai kwa muda!!!

Ajabu mzazi alipokuja na kuonyeshwa vithibitisho vyoote hakutoa ushirikiano wowote!!! Akawa mkali na Akaenda kwa diwani wa kipindi hicho!!!

diwani akaja anamfokea mkuu wa shule!!!! Na kusema mtoto arudi shuleni!!!

Binti alipaswa kuondolewa kwakuwa tayari alisha vunja sheria za shule moja kwa moja!!! lakini aliachwa ikawa ni dharau kwa waalimu mtindo mmoja!!!! Baadae mzazi akarudi kuleta malalamiko kuwa mtoto yule yule amemshindwa na anaomba asaidiwe!!! Waalimu wakampotezea!!!!

Mwisho wasiku nilipata taarifa hakuufanya hata mtihani wa mwisho na sasa ni mke wamtu!!!!

Ipo tabia pia ya watoto hao wa kike kuzusha maneno ya uongo dhidi ya waalimu wa kiume!!!

Bila kujaji upande wowote nadhani pande zote mbili zisikilizwe!!!

Ushauri wangu ni kwamba, waaalimu msome alama za nyakati!!! Hawa watoto ni wa kuwatazama 2!!! Ingieni darasani mfundishe baaas!!!! Kiboko pekee ni dunia!!!! Dunia itawafunza
 
Tatizo unauliza swali sehemu uliyokanusha

"" hata kama haya yote hayakutokea"" kama hayakutoke yote hata hili la kupigwa halipo.
Sasa kujibu ndio au sio nitakua najibu swali lililokanushwa labda ufafanue kidogo ndipo ntakujibu
Jibu swali nililo uliza kuna question mark hapo .
Hilo ni swali jibu Kama huna jibu sema .
 
Kuwashambulia walimu bila kujua upande wao ilijuaje ni utaahira wa hali ya juu,tujifunze kucomment baada ya kupata uthibitisho wa unachotaka kucoment tuache unazi,kwa mfano huyo student alikua anampiga na mwalimu wa kike wenzake wakaingilia kumnusuru mtasemaje?tusubiri majibu kabla ya kukosoa.
Kwa hiyo Kama alikuwa anampiga mwalimu hilo linawaruhusu waalimu wengine kumfanyia unyama huo? Jibu ni hapana. Walitakiwa watenganishe ugomvi na kisha watafute mwenye kosa ili hatua zichukuliwe. Huyu mtoto amepigwa na kudhalilishwa. Walimu kazi yao ni kufundisha na kusimamia nidhamu. Kama mwanafunzi hana adabu kuna taratibu za kufuata ili kumsaidia mwanafunzi kutambua kosa lake na kujirekebisha. Kama mtoto anaendelea kuwa na ukorofi baada ya kumchukulia hatua zinazostahili inatakiwa asimamishwe shule ili wazazi waingilie kati. Kumcharaza mtoto viboko na kumdhalilisha ni kitu mbaya sana ni lazima kibarua cha hawa waalim kiote majani. Haya ni mawazo yangu lakini sitoshangaa wakipandishwa cheo Kama wana itikadi ya chama kikuu.
 
Hiyo tasnia ya ualimu nimeifanya kwa miaka 4 na kufanya maamuzi ya kuachana nayo!!!

Ni kweli uyo mtoto kaumizwa kama taarifa inayosemwa nikweli!!!

Miongoni mwamambo yaliyonifanya kuachana na kazi ya ualimu, ni nidhamu za watoto na tabia zao za skuizi!!!!

Mtawahukumu hao waalimu ila hamjawai ingia darasani mkafundisha!!! Ama hamjawai kukaaa na hawa watoto vizuri mkaziona tabia zao!!!!

Niliwai fundisha watoto wakidato cha 3, darasani mtoto alikua haaandiki baada ya kukagua begi lake la madaftari nikakuta ana ulbum yake ya picha za aajabu ajabu!!! Zilionekana kupigwa nyumba ya kulala wageni

Alikua na smart phone imewekwa kwa skintight!!! baada ya kumlazimisha kutoa parten na kuifungua tulisoma sms zilizomo ndani kama ni mzazi unaweza uka changanyikiwa!!! Ama ukazirai kwa muda!!!

Ajabu mzazi alipokuja na kuonyeshwa vithibitisho vyoote hakutoa ushirikiano wowote!!! Akawa mkali na Akaenda kwa diwani wa kipindi hicho!!!

diwani akaja anamfokea mkuu wa shule!!!! Na kusema mtoto arudi shuleni!!!

Binti alipaswa kuondolewa kwakuwa tayari alisha vunja sheria za shule moja kwa moja!!! lakini aliachwa ikawa ni dharau kwa waalimu mtindo mmoja!!!! Baadae mzazi akarudi kuleta malalamiko kuwa mtoto yule yule amemshindwa na anaomba asaidiwe!!! Waalimu wakampotezea!!!!

Mwisho wasiku nilipata taarifa hakuufanya hata mtihani wa mwisho na sasa ni mke wamtu!!!!

Ipo tabia pia ya watoto hao wa kike kuzusha maneno ya uongo dhidi ya waalimu wa kiume!!!

Bila kujaji upande wowote nadhani pande zote mbili zisikilizwe!!!

Ushauri wangu ni kwamba, waaalimu msome alama za nyakati!!! Hawa watoto ni wa kuwatazama 2!!! Ingieni darasani mfundishe baaas!!!! Kiboko pekee ni dunia!!!! Dunia itawafunza
Ninakubali kuwa kazi ya ualimu ni ngumu hasa kutokana na tabia za watoto. Lakini nikuulize wewe kama mwalimu job description yako inasemaje? Kama mwanafunzi haandiki darasani wewe kama mwalimu je unatakiwa umlazimishe? Je, wewe kuchukua simu yake na kuifungua bila idhini yake huoni kwamba uliingilia mambo binafsi yasiyokuhusu? Mimi ningekuwa mwalimu ninapiga chaki tu kazi ya kulea ninawaachia wazazi. Nikukumbushe tu kuwa unachoona darasani ni mwangwi ya kinachotokea nyumbani. Kama wazazi wameshindwa kulea nyie waalimu hamtaweza. Kamata chaki yako jioni nenda nyumbani kapumzike. Kulea waachieni wazazi.
 
Kwa hiyo Kama alikuwa anampiga mwalimu hilo linawaruhusu waalimu wengine kumfanyia unyama huo? Jibu ni hapana. Walitakiwa watenganishe ugomvi na kisha watafute mwenye kosa ili hatua zichukuliwe. Huyu mtoto amepigwa na kudhalilishwa. Walimu kazi yao ni kufundisha na kusimamia nidhamu. Kama mwanafunzi hana adabu kuna taratibu za kufuata ili kumsaidia mwanafunzi kutambua kosa lake na kujirekebisha. Kama mtoto anaendelea kuwa na ukorofi baada ya kumchukulia hatua zinazostahili inatakiwa asimamishwe shule ili wazazi waingilie kati. Kumcharaza mtoto viboko na kumdhalilisha ni kitu mbaya sana ni lazima kibarua cha hawa waalim kiote majani. Haya ni mawazo yangu lakini sitoshangaa wakipandishwa cheo Kama wana itikadi ya chama kikuu.
Kwa mawazo haya basi watafukuzwa kazi na watz mtapata faida,
Hapa ni kwamba ikitokea wakafukuzwa kazi halafu ikaja kugundulika kua hawakuufanya unyama huu mbeleni sijui itakuaje??!

Mwanafunzi mmoja atafukuzisha walimu wanne, kwa hiyo tukiwa na wanafunzi kama hawa 1000 nchi nzima tutafunga jumla ya walimu 4000 haya bwana.

Sishangai sanaaaa ila nawaonea huruma tuu watz kama fikra zetu zinaishia karibu kiasi hiki
 
Ninakubali kuwa kazi ya ualimu ni ngumu hasa kutokana na tabia za watoto. Lakini nikuulize wewe kama mwalimu job description yako inasemaje? Kama mwanafunzi haandiki darasani wewe kama mwalimu je unatakiwa umlazimishe? Je, wewe kuchukua simu yake na kuifungua bila idhini yake huoni kwamba uliingilia mambo binafsi yasiyokuhusu? Mimi ningekuwa mwalimu ninapiga chaki tu kazi ya kulea ninawaachia wazazi. Nikukumbushe tu kuwa unachoona darasani ni mwangwi ya kinachotokea nyumbani. Kama wazazi wameshindwa kulea nyie waalimu hamtaweza. Kamata chaki yako jioni nenda nyumbani kapumzike. Kulea waachieni wazazi.
Moja ya marufuku kwa mwanafunzi ni kutokuwa na simu ebeo la shule, embu jifikirie wewe wakati unasoma ni wangapi walikua wanamiliki simu???
HAPA MWISHONI UMESHAURI VIZURI MNOO,

WALIMU WAACHE KIHEREHERE CHA KUJIFANYA WALEZI ENZI HIZI AMBAZO KUNA WAZAZI HAWAKUPASWA KUWA WAZAZI.
JAPO NAJUA MSTIKABALI WA TAIFA UNAENDA KUFA KIJERUMANI

Wanapaswa kufanya kazi mbili tu, moja kuhakikisha mshahara wake anaenda kuchungulia ili aitunze familia yake
Mbili ahakikishe anaingia darasani ikiwezekana hata kupiga stori za kuwafurahisha watoto ili asiingie matatani kwa kujifanya analea
Akiyafanya haya kwa weledi nadhani atakua salama tuu kwa vyovyote.

Suala la malezi libaki mikononi mwa wazazi wake na hizo taasisi sijui za haki za binadam.

Hapa upande wa shule za bweni sijui huyo mzazi atamleaje, ila mpaka mtoto anakuja bweni atakuwa kashapata malezi ya kutosha tuu kutoka kwao

Narudia tena kusema chondechonde walimu jiwekeni mbali na malezi, leeni familia zenu hawa watoto wa siku hizi niwaigizaji sijapata ona
 
Kwa mawazo haya basi watafukuzwa kazi na watz mtapata faida,
Hapa ni kwamba ikitokea wakafukuzwa kazi halafu ikaja kugundulika kua hawakuufanya unyama huu mbeleni sijui itakuaje??!

Mwanafunzi mmoja atafukuzisha walimu wanne, kwa hiyo tukiwa na wanafunzi kama hawa 1000 nchi nzima tutafunga jumla ya walimu 4000 haya bwana.

Sishangai sanaaaa ila nawaonea huruma tuu watz kama fikra zetu zinaishia karibu kiasi hiki
Waalimu wanajifukuzisha kazi kwa kukosa busara. Nataka uniambie hawa waalimu na mwanafunzi waliemdhuru wanatofauti gani kitabia? Mwalimu unatakiwe ujue kuwa kuna wanafunzi watakuwa na tabia mbaya na sio kazi yao kuwarekebisha. Kazi Yao ni kuwafundisha na Kama
Moja ya marufuku kwa mwanafunzi ni kutokuwa na simu ebeo la shule, embu jifikirie wewe wakati unasoma ni wangapi walikua wanamiliki simu???
HAPA MWISHONI UMESHAURI VIZURI MNOO,

WALIMU WAACHE KIHEREHERE CHA KUJIFANYA WALEZI ENZI HIZI AMBAZO KUNA WAZAZI HAWAKUPASWA KUWA WAZAZI.
JAPO NAJUA MSTIKABALI WA TAIFA UNAENDA KUFA KIJERUMANI

Wanapaswa kufanya kazi mbili tu, moja kuhakikisha mshahara wake anaenda kuchungulia ili aitunze familia yake
Mbili ahakikishe anaingia darasani ikiwezekana hata kupiga stori za kuwafurahisha watoto ili asiingie matatani kwa kujifanya analea
Akiyafanya haya kwa weledi nadhani atakua salama tuu kwa vyovyote.

Suala la malezi libaki mikononi mwa wazazi wake na hizo taasisi sijui za haki za binadam.

Hapa upande wa shule za bweni sijui huyo mzazi atamleaje, ila mpaka mtoto anakuja bweni atakuwa kashapata malezi ya kutosha tuu kutoka kwao

Narudia tena kusema chondechonde walimu jiwekeni mbali na malezi, leeni familia zenu hawa watoto wa siku hizi niwaigizaji sijapata ona
asante sana kwa kuniunga mkono katika hoja yangu. Ni kweli simu ni marufuku darasani lakini sio sawa mwalimu kufungua simu ya mwanafunzi. Simu inaweza kuchukuliwa na kuwekwa ofisini kama punishment but opening it is invading somebody's privacy. Waalimu acheni ubabe. Stick to your job desciption!
 
Waalimu wanajifukuzisha kazi kwa kukosa busara. Nataka uniambie hawa waalimu na mwanafunzi waliemdhuru wanatofauti gani kitabia? Mwalimu unatakiwe ujue kuwa kuna wanafunzi watakuwa na tabia mbaya na sio kazi yao kuwarekebisha. Kazi Yao ni kuwafundisha na Kama

asante sana kwa kuniunga mkono katika hoja yangu. Ni kweli simu ni marufuku darasani lakini sio sawa mwalimu kufungua simu ya mwanafunzi. Simu inaweza kuchukuliwa na kuwekwa ofisini kama punishment but opening it is invading somebody's privacy. Waalimu acheni ubabe. Stick to your job desciption!
Sipingani na wewe kabisaaaaaa
Tatizo la walimu nina uhakika kukaa na wanafunzi hujihisi kama wazazi, hili la kuwa mzazi kwa wanafunzi lilikuwepo tuliosoma kipindi kileeee tutakua mashahidi lakini sasa niungane na wewe tuui

Kwamba mwalimu abaki na kazi moja tuuuuu hilo la kubwatuka darasani basi

Hivi viherehere vya kujifanya wazazi

Wengi watapoteza ajira zao na wengi wataishia jera kwa kujipendekeza

Ikumbukwe tu kwamba zama hizi uadui kati ya mwalimu na mwanafunzi umekomaaa na umevuka mipaka kwa kuwango cha juu

Kibaya zaidi mwalimu hana chombo chochote cha kusimamia na kumtetea ambacho hakikukaa kisiasa.

Maoni yangu
Kila shule hua ina sheria za shule zilizoko kusheria pia katika inchi
Hivyo ni vema kingewekwa chombo cha kuzisimamia zile sheria za shule ili pondi mtoto anapokosea au anapoenda kinyume na sheria vasi kitakachomchukulia hatua kiwe kile chombo husika isiwe kamati ya nidhamu tena shuleni
 
Ila watoto wa siku hizi wana viburi jamani, kwa hyo walimu wote wanne walimwonea. Ila yeye mmoja alikuwa sahihi. Nafikiria nje ya boksi.

Na walimu wa kike watatu wapo. Huyo wa kiume mmoja ashike pochi manyoya ya dogo mbele yao?

Hili shauri tumesikiliza upande mmoja.
Shukuru kumbe akili zako bado ni zile zile za mabibo enzi zile? Sasa hapo hata Angekua na kosa la vp wewe waona sahihi kwa kichapo hicho?
 
Ila wanyakyusa wamejaliwa miguu jaman, kabint ka form four ana mguu kama Masogangeeee.
Let the teachers be purnished accordingly
 
huyo binti anaonekana ni malaya, na ni mtu mwenye kiburi sana na asiyenautii kwa wakubwa zake,

OGOPA
Unapojitahd kumwongoza mwanafunzi ktk njia sahihi kumbe yeye anakufananisha na Jianamume lake huko mtaan tena anakuona wewe kama ni wakuja vile...

usikoment kwa usichokijua
 
Back
Top Bottom