nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,369
Kuna story anaficha...Ila watoto wa siku hizi wana viburi jamani, kwa hyo walimu wote wanne walimwonea. Ila yeye mmoja alikuwa sahihi. Nafikiria nje ya boksi.
Na walimu wa kike watatu wapo. Huyo wa kiume mmoja ashike pochi manyoya ya dogo mbele yao?
Hili shauri tumesikiliza upande mmoja.
Kwa nini amekuwa mtoro...
Kwa nini walimu walimwmbia ataje wanaume zake...
Na sioni uhalisia wa mwalimu wa kiume kufanya sexual harassment mbele ya walimu 3 wa kike unless hao walimu ni ma lesbian...
Watoto wa siku hizi tena wa secondary ni pasua kichwa...
Kenya wanajutra kutoa viboko maana wiki ilopita shule 5 zimechomwa moto na wanafunzi...
Na sasa idadi kwa ujumla imefika 70...
Yani wanachoma tu ili wasifanye mitihani...
Na inadhaniwa wanatumia madawa these days...
Fimbo ni muhimu kuliko kulea manunda