Mbeya wahoji uadilifu viongozi wa UKAWA

Mbeya wahoji uadilifu viongozi wa UKAWA

Hilo gazeti ni pro-CCM/ACT. Siku hizi hayo magazeti yanapuuzwa kwa kiwango kikubwa. Ndio maana umeona hata watu hawachangii sn mkuu. Pole

wewe puuza siye twaendelea kuhabarika, wewe kasome mwanahalisi na Tanzania daima
 
Bila kupoteza muda wala kuwachosha nimefanya utafiti kupitia mitandao ya kijamii kwa kuangalia watu 5,000 ambao wanaoinga mkono CCM. Hao ni wale ambao hawajatoka nje ya Tanzania hata kwenda tu nchi jirani na nyinginezo kuona ambavyo nchi nyingine zilivyopiga hatua.

Watu waliotembea nje na kuona nchi zilivyoendelea wengi hawaiungi CCM. Pia utafiti umegundua mikoa masikini zaidi ya Tanzania ndio bado wanaiunga mkono sababu wengi hawajatembea nje ya Tanzania kuona nchi nyingine zilivyopiga hatua hivyo wakiwekewa barabara ata ya udongo wao huona ndio maendeleo.
Mtaji mkubwa CCM walionao ni UJINGA kwa watanzania walio wengi... mwenye uwezo wa kuchambua maendeleo ya nchi yamefikaje hawezi kuunga mkono CCM.... ila wapo wanaojua kila kitu ila kwasababu kakulia CCM basi hawez kuiacha iende zake maana hatakuwa na pa kula tena
 
Lowasa ndiye Rais ...Tukutane October....huyo mwandishi ana uadilifu gani? au hilo gazeti lina uadilifu gani kwa sababu tuna taarifa kuwa limenunuliwa na CCM na wamepewa sh. milioni 350 kuwakandia UKAWA!!

nyie madogo mnamatatizo sana, sijui mnavuta mibangi ya wapi? au sikil
 
Mmekutana nao wapi hao wana mbeya waliotuwakilisha sisi sote
 
Songwe ni uwanja wa kimataifa tangu lini? Hivi unajua International Airport wewe? Songwe ni uwanja wa Mkoa hauna hadhi ya viwanja vya kimataifa ni saisa tu za CCM

ndio nini?
 
Ukitaka kukwazana na hawa jamaa ongea ukweli unaowahusu,lazima utatukanwa tu. Yaani wao hujiona ni malaika,kila wakifanyacho ni kizuri. Ukiongea baya lao watakwambia unatumiwa,duuuuuh........!!.

ni kweli mkuu hawa jamaa wameshakuwa miungu watu hata kama ni ukweli utatukanwa mpaka basi
 
CDM masrahi mnaulizwa mbona kale kawimbo kenu ka ufisadi na mafisari nguri mmekaacha? ama CF imechuja? ama mmeuvaa mkenge? yawezekana mmepatikana ...wenye akiri wanawachora!
 
Uwezo wa hakili viongozi wetu wa ukawa kweli hoja ni babu seya au maisha bora, inabidi Nec ijaribu kupima hakili hawa wagombea
 
nichekiii kwa hiii no +255 673 612 886 nitext team lowassa whatsap group kwa updates za ukawa amaa nn
 
Wagombea wa Chadema 99% ni Wakristo.Kweli hii ni Christian Democratic Movement

Acha ubaguzi CCM Mwenyekiti mwisilam katibu mkuu mwisilam naibu katibu mkuu mwisilam mkuu wa sera mwisilam hata wagombea wengi wa CCM ni wakristo. Peleka Udini wako huko Watanzania hawana Udini wanataka mabadiliko na mageuzi wamechoka na CCM isiyojitambua.
 
Uwezo wa hakili viongozi wetu wa ukawa kweli hoja ni babu seya au maisha bora, inabidi Nec ijaribu kupima hakili hawa wagombea

Babu seya ni mojawapo ya wengi waliokosa Haki ambao wapo magerezani, mtashuhudia maajabu yakiwemo ya Balali kurejeshwa Tanzania, Magufuli kudaiwa zile billion 251 alizolipa makandarasi hewa pale wizara ya Ujenzi pia ukawa wataidai chenji ya vivuko Rada, vivuko, mabehewa Feki, sukari, bomba la Gesi, mgodi wa buzwagi, mgodi wa meremeta, escrow, EPA, chenji iliyobaki baada ya bunge la katiba iliyokataliwa nk
 
ni kweli mkuu hawa jamaa wameshakuwa miungu watu hata kama ni ukweli utatukanwa mpaka basi

Ukweli upi? Nani kakuambia waliopo Jela wote wana Hatia? Mara ngapi polisi wamebambikia watu kesi? Tulia si ndani ya dawa ikuingie Watanzania wa sasa si wale wa 2010 watu wameamka hawataki ccm tena miaka 54 bila maendeleo story zile zile ahadi zile zile tena nyingi hazitekelezeki, mabadiliko hayakwepeki badilika jitambue kubali mabadiliko.
 
Umechukua hilo gazeti kama kinga yako.Ila akili mbaya ulotumia hapo ni kuongeza Munyu sana mpaka inatia shaka kuonyesha ulipo.

Hilo Gazeti ni la CCM ni gazeti mama la Uhuru ni sawa na ACT na CCM baba na mwana si Gazeti la kulisoma kabsa.
 
Back
Top Bottom