GUI1 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2017 Posts 4,361 Reaction score 5,628 Sep 8, 2019 #1 Wakuu za jioni Hapa jijini Mbeya cement aina ya Nyati na Supaset zimekuwa adimu sana. Ukizingatia hizi cement ndio cement zinazo tumika mara nyingi sana kwasababu ya nguvu yake yaani 42.5. Naiomba swrikali itupie jicho la tatu kwenye hili swala
Wakuu za jioni Hapa jijini Mbeya cement aina ya Nyati na Supaset zimekuwa adimu sana. Ukizingatia hizi cement ndio cement zinazo tumika mara nyingi sana kwasababu ya nguvu yake yaani 42.5. Naiomba swrikali itupie jicho la tatu kwenye hili swala
monopoly inc JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 5,251 Reaction score 11,444 Sep 8, 2019 #2 Hapo mbeya si ndio hapo Jamaa alisema "tunaishukuru serikali ya CCM kwa kutuletea mbeya kupatwa kwa jua tunaomba awamu ijayo isitusahau"
Hapo mbeya si ndio hapo Jamaa alisema "tunaishukuru serikali ya CCM kwa kutuletea mbeya kupatwa kwa jua tunaomba awamu ijayo isitusahau"
T14 Armata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2017 Posts 13,885 Reaction score 47,025 Sep 8, 2019 #3 Serikali ifanye nini hapo. Labda kuna uhaba wa uzalishaji au usambazaji
mugah di matheo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 6,344 Reaction score 12,472 Sep 9, 2019 #4 Si kuna Mbeya cement?
M MZAWA JF JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 4,711 Reaction score 4,232 Sep 9, 2019 #5 mugah di mathew said: Si kuna Mbeya cement? Click to expand... Sidhani kama kuna kiwanda cha cement kikongwe kilicholala usingizi kwa Tz kama hiki!
mugah di mathew said: Si kuna Mbeya cement? Click to expand... Sidhani kama kuna kiwanda cha cement kikongwe kilicholala usingizi kwa Tz kama hiki!
GUI1 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2017 Posts 4,361 Reaction score 5,628 Sep 9, 2019 Thread starter #6 Mkuu hivi hujui serikali inaweza kifanya nn? T14 Armata said: Serikali ifanye nini hapo. Labda kuna uhaba wa uzalishaji au usambazaji Click to expand...
Mkuu hivi hujui serikali inaweza kifanya nn? T14 Armata said: Serikali ifanye nini hapo. Labda kuna uhaba wa uzalishaji au usambazaji Click to expand...
GUI1 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2017 Posts 4,361 Reaction score 5,628 Sep 9, 2019 Thread starter #7 Mkuu huja kosea kabisa yaani hiki kiwanda ni kama hakipo kabisa. Cement hapa Mbeya wanauza bei juu lkn ukifika Makambako tu hapo nasikia inakuwa chini MZAWA JF said: Sidhani kama kuna kiwanda cha cement kikongwe kilicholala usingizi kwa Tz kama hiki! Click to expand...
Mkuu huja kosea kabisa yaani hiki kiwanda ni kama hakipo kabisa. Cement hapa Mbeya wanauza bei juu lkn ukifika Makambako tu hapo nasikia inakuwa chini MZAWA JF said: Sidhani kama kuna kiwanda cha cement kikongwe kilicholala usingizi kwa Tz kama hiki! Click to expand...
monopoly inc JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 5,251 Reaction score 11,444 Sep 9, 2019 #8 GUI1 said: Mkuu huja kosea kabisa yaani hiki kiwanda ni kama hakipo kabisa. Cement hapa Mbeya wanauza bei juu lkn ukifika Makambako tu hapo nasikia inakuwa chini Click to expand... Unasikia makambako nini?
GUI1 said: Mkuu huja kosea kabisa yaani hiki kiwanda ni kama hakipo kabisa. Cement hapa Mbeya wanauza bei juu lkn ukifika Makambako tu hapo nasikia inakuwa chini Click to expand... Unasikia makambako nini?