Mbeya: TFF tendeni haki uchaguzi wa Mbeya

Mbeya: TFF tendeni haki uchaguzi wa Mbeya

Mwanongwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2023
Posts
866
Reaction score
805
UCHAGUZI MREFA (MBEYA)

Habari ndugu zangu Wanamichezo.
Leo ni siku ya usaili kwa wagombea wa nafasi mbalimbali kwenye Chama cha Mpira Mkoa wa Mbeya (MREFA).

Taarifa zilizipo ni kwamba Kamati ya Uchaguzi ya TFF inayoongozwa na Benjamin Kalume wamepanga kumkata Sadick Jumbe kwenye nafasi ya Mwenyekiti na kumuacha Elias Mwanjala peke yake.

Katika nafasi ya Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa TFF wamepanga kuwakata Wagombea watatu na kumuacha Mohamed Mashango peke yake.

Na haya ni maagizo kutoka kwa Kigogo mmoja wa TFF.

Benjamin Kalume pamoja na wajumbe wako wa kamati tunakuonya utaharibu uchaguzi, tenda haki.

TFF mnakoelekea mnaharibu mpira na mtajutia hiki mnachokifanya
 
UCHAGUZI MREFA (MBEYA)

Habari ndugu zangu wana Michezo.
Leo ni siku ya usaili Kwa wagombea wa nafasi mbalimbali Kwenye chama Cha mpira mkoa wa Mbeya (MREFA).

Taarifa zilizipo nikwamba Kamati ya uchaguzi ya TFF inayoongozwa na Benjamin Kalume wamepanga kumkata Sadick Jumbe Kwenye nafasi ya Mwenyekiti na kumuacha Elias Mwanjala peke yake.

Katika nafasi ya Mjumbe wa mkutano mkuu wa TFF wamepanga kutukata wagombea watatu na kumuacha Mohamed Mashango peke yake.

Na haya ni maagizo kutoka Kwa Kigogo mmoja wa TFF.

Benjamin Kalume pamoja na wajumbe wako wa kamati tunakuonya utaharibu uchaguzi,tenda haki.

TFF mnakoelekea mnaharibu mpira na mtajutia hiki mnachokifanya
Wanahisi mechi ya Yanga na Simba ina viashiria vya rushwa wakati mle TFF rushwa ndiyo imelala🚮🚮🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom