Depression is real.
Tatizo huku africa watu wakisikia mtu ana ugonjwa wa akili wanajua ni kichaa kumbe almost wote ni wagonjwa wa akili.
Na sababu kubwa ni umasikini.
Nadhani watu wenye mamlaka husika waangalie uwezekano wa kusambaza elimu na kuongeza madaktari wa magonjwa ya akili ili kuepuka mambo kama haya.