Ujasusi wa aina hii mimi nauunga mkono sana tu.....lakini sio kwa kuwaua kinyama wazee waliotumikia taifa namna hii......no matter wamekosea vipi....! SAsa kama tuna ujasusi wa hivi, kwanini tusichinje hadi familia ya wanaomiliki IPTL, DOWANS n.k? Kwanini tusiwachinje wawekezaji wanaotuibia rasilimali zetu nchini......!? Kwanini wasichinjwe wanaotuibia twiga, wanaosafirisha pembe za ndovu, wanaosaini mikataba mibovu?
Kumbe intelijensia inachinja wale tu wanaofichua udhalimu wa watawala wanao liibia taifa hili.....!
Mpumbavu anaweza awe na mbwa wake mkali hivi......hivyo, humsakizia mbwa mtu yeyote anayejisikia....na mbwa anaenda kumng'ata yeyote bila kufikiri...... jibwa linachofuata ni command ya master wake tu. Now days vyombo vyetu vya dola vimekuwa kama ng'ang'a koko vile, havina mazara kwa wezi, fisadi wala wahujumu.....! Vinasubiri oda kwa wakuu, mng'ate yule, chinja huyu, mtoe meno yule na koleo...!
Damu ya mtu, haipotei bure na gharama yake ni kubwa sana itapofika wakati wa kulipa.
R.I.P mzee wetu