Mbeya: Mtoto atekwa na kunyongwa hadi kufa. Mtekaji alitaka mzazi auze nyumba amtumie hela Milioni 10

Huyo mzazi kuna jambo nyuma ya pazia kalifanya mpaka hao watekaji watake auze nyumba...

Mzazi anatakiwa achunguzwe...

Cc: mahondaw
Mkuu usijichanganye, hawa watu wako vzr sana watakuwa walijua mzee anaweza kupata fedha na mbona maelezo yako wazi!!!
Hawaji kuteka mtoto kama hawajui kuwa una hela au namna ya kupata hiyo hela
 
Mkuu usijichanganye, hawa watu wako vzr sana watakuwa walijua mzee anaweza kupata fedha na mbona maelezo yako wazi!!!
Hawaji kuteka mtoto kama hawajui kuwa una hela au namna ya kupata hiyo hela

Asilimia 90 ya issue za utekaji zinakuaga ni za visasi...

Huyo mzazi achunguzwe, watajua ukweli...

Cc: mahondaw
 
Nimeamini siasa zikiacha kuingilia jeshi la polisi, Tunajeshi makini sana .

Yule jamaa aliye mteka mtoto na kumwua huko mbeya amekamatwa akiwa Iringa tena aliye mkamata alikua amesha mjua hadi sura yake.

Hongera sana PT.
 
ni suala la kawaida hilo hasa kwa sie tuliepitia Jeshi hilo tena Idara hiyohiyo ya Upelelezi,kimsingi ilikuwa delivered ni rahisi sana kumkamata huyo dogo maana alikuwa anawasiliana kwa simu na Baba wa mtoto,sasa simu inaonyesha location mpaka mahali ulipo,unategemea asingekamatwa!!!!
 
Back
Top Bottom