Mbeya: Mtoto atekwa na kunyongwa hadi kufa. Mtekaji alitaka mzazi auze nyumba amtumie hela Milioni 10

Sio mbaya sana, angalau wamemitahidi kidogo, waongeze bidii mpaka watu wasiojulikana nao wakamatwe.
 
Jamaa alikua amepata hadi sura yake.
ni suala la kawaida hilo hasa kwa sie tuliepitia Jeshi hilo tena Idara hiyohiyo ya Upelelezi,kimsingi ilikuwa delivered ni rahisi sana kumkamata huyo dogo maana alikuwa anawasiliana kwa simu na Baba wa mtoto,sasa simu inaonyesha location mpaka mahali ulipo,unategemea asingekamatwa!!!!
 
Back
Top Bottom