Mwanongwa
JF-Expert Member
- Feb 15, 2023
- 867
- 805
Mashindano ya Dream fm super cup yaliendelea kutimua vumbi siku ya jana kwenye uwanja wa chuo kikuu cha Teku
Mechi hiyo ya fainali ilizikutanisha timu za chuo kikuu cha Sayansi na technology MUST dhidi ya TIA.
Ndani ya dakika 90 game ilimalizika kwa bao moja kwa moja na ndipo ikafuata hangamoto ya mikwaju ya penati.
Penati zilipigwa 18 Kwa kila timu,huku timu zote zikikosa penati mbili.
Hali iliyopelekea mechi kughairishwa baada ya giza kuingia
Kitu cha kufurahisha katika mechi hiyo,mchezaji namba fulani akienda kupiga penati kwa timu moja basi namba ileile ya jezi ya mchezaji wa upande wa pili naye ataenda kupiga.
Mechi hiyo inarudiwa jioni ya leo hii ili kumpata bingwa.