Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Mkoa wa Mbeya ni moja kati ya mkoa iliyopo katika Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watukatika Mkoa wa Mbeya ni 2,343,754; wanaume 1,123,823 na wanawake 1,219,926
Mji wa Mbeya ulianzishwa na wakoloni Waingereza mnamo mwaka 1927. Wakati huo dhahabu ilianza kupatikana katika milima iliyopo karibu na Mbeya hadi Chunya hivyo Mbeya ulikuwa ni mji wa mapumziko kwa Wazungu kutokana na hali yake nzuri ya hewa, hali iliyosababisha mji wa Mbeya kupewa jina la utani kama "The Scotland of Africa"
Halmashauri za Mkoa wa Mbeya
Busokelo, Chunya, Kyela, Mbarali, Mbeya Mjini, Mbeya Vijijini na Rungwe.
Soma Pia: Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania
MAJIMBO YA MKOA WA MBEYA
Lupa: Watu 344,471
Mbarali: Watu 446,336
Mbeya Mjini: Watu 541,603
Mbeya Vijijini: Watu 371,259
Rungwe Magharibi: Watu 273,536
Busokelo: Watu 100,123
Kyela: Watu 266,426
Uyole:
Hali ya kisiasa
Katika uchaguzi wa mwaka 2020, Jiji la Mbeya lilishuhudia mabadiliko makubwa ya kisiasa. Ukilinganisha na chaguzi zilizopita ambapo vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, vilikuwa na nguvu kubwa, CCM ilipata ushindi mkubwa katika maeneo yote. Hali hii ilivutia mjadala wa kisiasa kwa sababu Mbeya ilikuwa mojawapo ya ngome muhimu za upinzani.
Katika jimbo la Mbeya Mjini, Tulia Ackson (CCM) alipata kura 75,225, akimshinda Joseph Mbilinyi maarufu kama "Sugu" wa CHADEMA aliyepata kura 37,591.
Majimbo mengine kama Busekelo, Kyela, Lupa, Mbalali, Mbeya Vijijini, na Rungwe yote yalichukuliwa na wagombea wa CCM.
Matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu 2025
JANUARI
- CHADEMA Mbeya wamuonya Sugu na wenzake wasipomchagua Lissu, Dkt Tulia atapita bila kupingwa
- Pre GE2025 Wanafunzi wa vyuo wamchangia Rais Samia na Rais Mwinyi fedha ya fomu
- Meya wa jiji la Mbeya: Kila mtanzania anatamani Dkt. Tulia awe mbunge wa jimbo lake, Mbeya mkikataa aendelee atagombea jimbo lolote atashindaBottom
- Mwenyekiti BAVICHA Mbeya: CHADEMA inahitaji kiongozi wa maamuzi magumu kama Lissu
- Mbunge wa Mbarali awataka UWT kutangaza habari za Rais Samia hadi msibani
- Pre GE2025 Spika Tulia: Hakutakuwa na ugumu wowote kwenye kampeni za mwaka huu. Mengi yaliyokuwa yanalalamikiwa, sheria zimebadilishwa
- Pre GE2025 Mwenyekiti BAVICHA Mbeya: CHADEMA inahitaji kiongozi wa maamuzi magumu kama Lissu
- Pre GE2025 Spika Tulia: Hakutakuwa na ugumu wowote kwenye kampeni za mwaka huu. Mengi yaliyokuwa yanalalamikiwa, sheria zimebadilishwa
- Dkt. Tulia alilipia Tiketi 1000, mechi ya Mbeya City FC dhidi ya African Sports!
- Pre GE2025 CHAUMMA kugawa ubwabwa kwa wananchi wa Jiji la Mbeya bure
- Pre GE2025 BAVICHA Mbeya: Tunamtaka Amani Manengelo aliyotoweka arudishwe akiwa mzima, tusije tukavuka mstari ambao hatutaki kuuvuka
- Pre GE2025 Kyela: CCM yasikitishwa kusuasua kwa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mbeya
- Pre GE2025 Mbunge David Silinde: Anaetamani kugombea jimbo la Tunduma aje, tutamnyoosha kuliko kipindi chochote
- Pre GE2025 Picha: Haya maandamano ya kuzindua Samia Legal Aid Campaign mkoani Mbeya yalikuwa na umuhimu gani?
- Pre GE2025 Mwenyekiti CCM, Mbeya: Tuwe waadilifu tusipokee wala kutoa rushwa ili tukipambanie chama
- Pre GE2025 Rais Samia ametoa zaidi ya TSh. Milioni 26 kwa Wahanga wa ajali Mbeya
- Pre GE2025 Video: Spika Tulia akiwa anacheza kwenye hafla ya utoaji wa bima za afya kwa wananchi 9,000 jijini Mbeya
- Pre GE2025 Madereva daladala jiji la mbeya wamtaka Dkt. Tulia kugombea tena ubunge 2025
- Pre GE2025 Bodaboda wamchangia Dkt. Tulia fomu ya ubunge Mbeya
- Mbunge kasaka ashiriki siku ya wanawake kwa aina yake, atoa mitungi ya gesi 100 na milioni 3 kwa akinamama
- Pre GE2025 Mbeya: Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, wamemchangia shilingi milioni moja Rais Samia fomu ya kugombea Urais
- Pre GE2025 Halmashauri ya Jiji la Mbeya imependekeza kuanza mchakato wa kuligawa jimbo la Mbeya mjini kupata jimbo jipya la Uyole
- Pre GE2025 Dkt. Tulia kuijengea nyumba familia yenye uhitaji Kyela, atoa msaada wa chakula na mavazi
- Pre GE2025 Mbeya: Dkt. Tulia amjengea nyumba mwananchi aliyeomba kujengewa na Rais
- Ni jambo gani lililofanyika Mbeya mjini wanaweza kujivunia tangu Dkt. Tulia awe mbunge? anatufaa tena 2025?
- Pre GE2025 Wasira apiga marufuku wajawazito kutozwa fedha
- Pre GE2025 Video: Spika Tulia akiwa anacheza kwenye hafla ya utoaji wa bima za afya kwa wananchi 9,000 jijini Mbeya
- Pre GE2025 Wassira: Hakuna kupita bila kupingwa
- Pre GE2025 Wassira asimikwa uchifu Mbeya
- Pre GE2025 Stephen Wasira: Rais Samia amefanya makubwa hata wanaume walikuwa hawaaamini kama angeweza kuyafanya
- Ni jambo gani lililofanyika Mbeya mjini wanaweza kujivunia tangu Dkt. Tulia awe mbunge? anatufaa tena 2025?
- Pre GE2025 Wasira aipa siku 14 kampuni ya GDM kuwalipa wakulima wa kahawa Rungwe
- Pre GE2025 Mbeya: Chifu Mwanshinga akemea mipango ya kuzuia uchaguzi 'No reforms No election' amuombea Rais Samia apate ushindi wa kishindo
- Pre GE2025 Kamati ya bunge yabaini madudu Mbeya, zimepigwa milioni 73
- Pre GE2025 Wasira: Wapinzani wasituogope kama Simba alivyowaogopa Yanga
- Mbeya: Dkt. Tulia Ackson afuturisha Waumini 200 wa dini ya Kiislam
- Dkt. Tulia Ackson akabidhi nyumba kwa Mkazi wa Mbeya kupitia Tulia Trust
- Makamu Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa: Dkt.Tulia sitisha ugawaji wa nguo, utaaibika!
- Sheikh wa Mkoa wa Mbeya, ampongeza Rais Samia kuimarisha Demokrasia na kuleta matumaini ya uchaguzi huru na wa haki, 2025
- Dkt. Tulia kujenga nyumba nyingine nne kwa wahitaji wenye makazi duni Mbeya
- Dkt. Tulia atoa misaada kwa wananchi wenye uhitaji Ilomba
- Dkt. Slaa arejea rasmi CHADEMA
- Kuhusu madai ya kubeba wanachama wa CCM. Polisi Simiyu wasema walisaidia kubeba Wananchi walioharibikiwa gari
- Dkt. Slaa awaomba radhi CHADEMA Mkutanoni, ataja kilichomrudisha kundini, aapa kupambana kuiondoa CCM madarakani
- Tundu Lissu: Tumepokea barua za wabunge wawili kati 19 tuliowafukuza uanachama CHADEMA, wanataka kurudi
- Tulia Trust yatoa msaada wa masomo kwa walioshindwa kuendelea na elimu baada ya baba yao kufariki
- Dkt. Tulia atoa msaada wa mavazi kwa zaidi ya watu 130
- Heche ashangazwa na wananchi kuwa na shida ya maji kwenye nchi yenye rasilimali nyingi
- Heche: Wanaiba pesa kisha wanawapa wananchi vitenge na mitungi ya gesi
- Pre GE2025 - MBEYA: Ahamia CCM kutokana na mambo mazuri yalifanywa na chama hiko, ikiwemo ujenzi wa barabara
- Wanachama CHADEMA Mbeya watimkia CCM
- Makalla: Uchaguzi ni takwa la kikatiba, hakuna wa kuzuia
- Mbarali: Serikali imekamilisha mradi wa maji wa Ruduga Mawindi kwa shilingi bilioni 5.2
- Heche: Msimamo wetu wa kulinda rasilimali mpaka mwisho uko pale pale, wakimfunga Lissu wengine tutasonga mbele
- Heche: Wanatutishia CHADEMA itakufa tusiposhiriki uchaguzi na ife kuliko kuwa chama tunachosimamia uongo
- Heche: Chochote kikimpata Lissu akiwa gerezani Rais Samia utaijibu Dunia, tunafika Bunge la Umoja wa Ulaya tuoneshe uhalisia wenu
- VIDEO: CHADEMA Kyela wamlilia Tundu Lissu wakati Heche akihutubia kwenye mkutano wa hadhara
- Waziri Ulega atoa siku 30 kwa Mkandarasi barabara ya Nsalaga-Ifisi kuwekwa Lami
- Gari ya katibu mwenezi CCM Mbeya lachomwa moto
- Waziri Mchengerwa aweka jiwe la Msingi Soko la Kimataifa la Sokomatola na kukagua Stendi ya Mabasi ya kisasa jijini Mbeya
- Dkt. Tulia azindua gari la kubebea wagonjwa lililotolewa na Serikali kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Mwakibete, jijini Mbeya
- Mbunge Sophia Mwakagenda aitema CHADEMA, Ajiunga rasmi na CCM
- Chadema wapeleka ushahidi waliomteka mdude
- Polisi Mbeya: Ole wake yeyote mwenye nia ovu ya kufanya uhalifu au kudhuru askari au familia yake
- Naibu Waziri Mkuu Biteko: Hakuna mpango wa kuahirisha uchaguzi
- Dkt. Tulia: Mabadiliko sheria za uchaguzi yalihusisha wadau wote
- Kanisa Anglikana lawasisitiza wananchi kushiriki uchaguzi
- RC Mbeya atoa TSh 5 Milioni kwa atakayetoa taarifa za Mdude, aagiza Polisi kuwasaka waliomteka
- Wana Mbeya wafanya maombi maalumu kwa ajili ya kupatikana kwa Mdude
- Mimi ni Mke wa Askari lakini kwa hili la Mdude simtaki tena mume wangu
- Tume Huru ya Uchaguzi yatangaza majimbo mapya nane, Mbeya yapata Uyole
- Waziri Bashe amuomba Spika Tulia akagombee ubunge jimbo la Uyole na si Mbeya Mjini
- Wananchi bonde la Uyole waanza kumchangia hela fomu Spika Tulia ili agombee ubunge jimbo la Uyole
- Dkt. Tulia akimbia jimbo la Mbeya Mjini, atangaza nia kugombea jimbo jipya la Uyole
- CCM Mbeya mjini yapongeza utekelezaji wa mradi wa barabara Ilomba - Machinjioni
- CHADEMA yavunja rasmi kambi ya kumtafuta Mdude Nyagali aliyetoweka Mei 2, 2025
- RC Mbeya, Homera: Wataumiza vidole kwa kuandika 'No Reforms No Election' sisi tunagonga uchaguzi wetu
- RC Homera amuagiza DC Mbarali kumsweka ndani mkandarasi endapo hatakamilisha mradi mpaka Juni 30, 2025
- Mbunge Suma Fyandomo akabidhi madirisha ya Aluminium nyumba ya Katibu UWT Wilaya ya Kyela
- Mbunge Suma Fyandomo achangia Milioni 374.5 miaka mitano ya Ubunge, UWT Mkoa wa Mbeya wampongeza sana
- Petro Ntagira mwanafunzi MUST atangaza kugombea Udiwani Iyunga, Mbeya
- Dk. Tulia Ackson achukua fomu ya ubunge Jimbo la Uyole
- Wananchi Uyole wamchukulia fomu Dkt. Tulia Ackson kugombea Ubunge
- Kada wa CCM Hezroni Mtawa achukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Ileje
- Yothamu Ndile achukua fomu kutetea nafasi ya Udiwani Kata ya Mlale, Ileje
- Sophia Mwakagenda ajitosa kuomba ridhaa jimbo la Rungwe kupitia CCM
- Salome Sengo achukua fomu ya Kuomba ridhaa ya Kugombea ubunge Jimbo la Lupa
- Yusuph Mwambete achukua Fomu kugombea Udiwani kata ya Ilemi Jimbo la Uyole
- Dkt. Seria Masole Shonyela achukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Uyole
- Mwandishi wa habari, Charles Mwakipesile achukua fomu kutia nia kugombea ubunge jimbo la Mbeya mjini
- Mwenyekiti wa CCM Mbeya Mjini Humphrey Nsomba achukua Fomu kugombea Ubunge jimbo la Mbeya Mjini
- Emily Sanga ajitosa kuwania Ubunge jimbo la Uyole kushindana na Tulia Akson
- Aliyekuwa Mkurugenzi wa NEMC Mhandisi Dkt. Gwamaka Mafwenga Achukua fomu kutia nia ubunge jimbo la Rungwe
- Patali S Patali achukua fomu kutia nia kuwania ubunge jimbo la Mbeya Vijijini
- Mtumishi huyo wa Ofisi ya Makamu wa Rais Kitengo cha Ununuzi na Ugavi Ezekiel Gwatengile autaka ubunge Jimbo la Busokelo
- Emily Sanga kupimana nguvu na Dk Tulia jimbo la Uyole
- Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, John Nchimbi, naye achukua fomu kuwania Ubunge wa Jimbo la Nyasa
- Baraka Zambi arejesha Fomu ya Kugombea Udiwani Ilemi, aahidi kuendeleza misingi ya CCM
- Zitto Kabwe: Wasioshiriki uchaguzi watajutia uamuzi wao
- Mch. Kimondo ahoji baiskeli, pikipiki na magari yenye picha za mgombea zilizosambazwa, mfadhili ni nani?
- Richard Kasesela achukua fomu ya Ubunge Rungwe, Mbeya
- Fyandomo, Mahundi wachomoza Kura za maoni Ubunge Viti maalumu Mbeya
- Serikali yatoa zaidi ya Shilingi Bilioni 98 kuimarisha sekta ya elimu Mbeya na Mtwara
- Mch. Kimondo: kama wanadai wanapendwa na wamefanya mazuri kwanini wanaogopa kufanya reforms?
- Mch. Kimondo ashauri CCM wakae chini na vyama vya upinzani wazungumze kuhusu hatma ya nchi na mgogoro kuhusu sheria za uchaguzi
- Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025
- Fyandomo, Mahundi wachomoza Kura za maoni Ubunge Viti maalumu Mbeya
- Kinachoendelea Jimbo la Uyole: Mpinzani wa Tulia avamiwa na gari yake kuharibiwa
- Mwakalinga ahitimisha kuomba kura jimbo la Kyela
- "Kamanda"Mwamengo ndani ya INEC Kyela leo kuchukua fomu ya kuomba uteuzi wa kuwa mgombea ubunge
- Dkt. Tulia anatafuta ushawishi kwa nguvu kupitia mikopo ya asilimia 10
- Kama TAKUKURU wameshindwa. basi CCM angalieni hili
- Mwenyekiti wa BAZECHA Mbeya: Kama kweli CCM imefanya kazi nzuri kwanini waogope kushindana na CHADEMA
- Sugu: Warioba anajitahidi lakini yupo peke yake, Akina Pinda, Makinda, Pius Msekwa watoke wazungumze kuhusu mustakabali wa taifa letu
- Dkt. Tulia Ackson achukua fomu ya kugombea Jimbo jipya la Uyole
SEPTEMBA
- Ambwene Mwasongwe aomba radhi baada ya Wananchi kumuwashia moto aliposhiriki kwenye kampeni za CCM
- Ngonyani azindua kampeni za udiwani kata ya Forest, aahidi kuwainua wananchi
- Mbeya: Madiwani 10 wa CCM hawana Wapinzani, INEC kuamua Kura za 'Ndiyo' zisipotosha Oktoba 29, 2025
- Stephen Wasira: CCM tumedhamiria kuendelea kuleta mabadiliko katika maendeleo ya Watanzania
- Mwenyekiti wa tume huru ya taifa ya uchaguzi INEC akagua maandalizi ya uchaguzi mkuu Mbeya
- Musa: Nitatoa ajira kwa vijana wa Mbarali