Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 7,682 Reaction score 9,529 Jun 19, 2020 #1 Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo. Kila la heri watia nia.
Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo. Kila la heri watia nia.
Isotonic JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 2,615 Reaction score 4,012 Jun 19, 2020 #2 So unamanisha Sugu sio msomi mnamtaka Tulia Ackson. Mwezi wa kumi umefika fanya mamuzi sahihi
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 7,682 Reaction score 9,529 Jun 19, 2020 Thread starter #3 Jimbo limekosa maendeleo kwa kipindi kirefu
Mwaikibaki JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 3,047 Reaction score 3,775 Jun 19, 2020 #4 Kwani si mlipanga foleni mkamchagua ndugu Sugu? Endeleeni kufanya majaribio ya future ya watoto na vijukuu !
Kwani si mlipanga foleni mkamchagua ndugu Sugu? Endeleeni kufanya majaribio ya future ya watoto na vijukuu !
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 7,682 Reaction score 9,529 Jun 19, 2020 Thread starter #5 Mwaikibaki said: Kwani si mlipanga foleni mkamchagua ndugu Sugu? Endeleeni kufanya majaribio ya future ya watoto na vijukuu ! Click to expand... Binafsi sikumchagua SUGU 2015 pia mwaka huu sitamchagua tena
Mwaikibaki said: Kwani si mlipanga foleni mkamchagua ndugu Sugu? Endeleeni kufanya majaribio ya future ya watoto na vijukuu ! Click to expand... Binafsi sikumchagua SUGU 2015 pia mwaka huu sitamchagua tena
Masalu Jacob JF-Expert Member Joined Jul 26, 2017 Posts 1,341 Reaction score 1,499 Jun 19, 2020 #6 softG said: Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka SI maendeleo. Kila la heri watia nia Click to expand... Brother Mbeya kabla ya Sugu kuwa mbunge mlikuwa na maendeleo gani na hao wasomi feki wako? Karibu.
softG said: Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka SI maendeleo. Kila la heri watia nia Click to expand... Brother Mbeya kabla ya Sugu kuwa mbunge mlikuwa na maendeleo gani na hao wasomi feki wako? Karibu.
Gerald .M Magembe JF-Expert Member Joined Jul 17, 2013 Posts 2,495 Reaction score 1,802 Jun 19, 2020 #7 Kimbaumbau wangu hapa njia nyeupe, na hii itafanya watu wapunguze dharau. Dada yangu mwili mdogo kichwa Scania tena na mtoto. Oyeeee Dr. Tulia Ackson. Rudi mjengoni ukachape kazi. Muda mrefu Mbeya tunajua Sugu harudi Mjengoni.
Kimbaumbau wangu hapa njia nyeupe, na hii itafanya watu wapunguze dharau. Dada yangu mwili mdogo kichwa Scania tena na mtoto. Oyeeee Dr. Tulia Ackson. Rudi mjengoni ukachape kazi. Muda mrefu Mbeya tunajua Sugu harudi Mjengoni.
I inchaji JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 2,650 Reaction score 5,461 Jun 19, 2020 #8 Yule dental formula mbovu hawezi kuwa mbunge wa Mbeya.
I inchaji JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 2,650 Reaction score 5,461 Jun 19, 2020 #9 softG said: Binafsi sikumchagua SUGU 2015 Click to expand... Na akapata kura nyingi kuliko mbunge yeyote nchi nzima.
softG said: Binafsi sikumchagua SUGU 2015 Click to expand... Na akapata kura nyingi kuliko mbunge yeyote nchi nzima.
Gerald .M Magembe JF-Expert Member Joined Jul 17, 2013 Posts 2,495 Reaction score 1,802 Jun 19, 2020 #10 Mihemko ya Lowassa ilisaidia watu wengi, Sugu akiwa mmoja wapo; Leo hakuna mihemko , suala ni ufahamu wa mtu na jinsi anavyo weza kujitoa.
Mihemko ya Lowassa ilisaidia watu wengi, Sugu akiwa mmoja wapo; Leo hakuna mihemko , suala ni ufahamu wa mtu na jinsi anavyo weza kujitoa.
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 7,682 Reaction score 9,529 Jun 19, 2020 Thread starter #11 Masalu Jacob said: Brother Mbeya kabla ya Sugu kuwa mbunge mlikuwa na maendeleo gani na hao wasomi feki wako? Karibu. Click to expand... Swali Ni kuwa Sugu ameleta maendeleo gani?
Masalu Jacob said: Brother Mbeya kabla ya Sugu kuwa mbunge mlikuwa na maendeleo gani na hao wasomi feki wako? Karibu. Click to expand... Swali Ni kuwa Sugu ameleta maendeleo gani?
omtiti JF-Expert Member Joined Jun 19, 2019 Posts 1,021 Reaction score 1,591 Jun 19, 2020 #12 Ujumbe unamuhusu SUGU
900 Itapendeza zaidi JF-Expert Member Joined Nov 19, 2017 Posts 9,423 Reaction score 11,439 Jun 19, 2020 #13 softG said: Binafsi sikumchagua SUGU 2015 pia mwaka huu sitamchagua tena Click to expand... na atashinda tena
softG said: Binafsi sikumchagua SUGU 2015 pia mwaka huu sitamchagua tena Click to expand... na atashinda tena
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 7,682 Reaction score 9,529 Jun 19, 2020 Thread starter #14 Gerald .M Magembe said: Mihemko ya Lowassa ilisaidia watu wengi, Sugu akiwa mmoja wapo; Leo hakuna mihemko , suala ni ufahamu wa mtu na jinsi anavyo weza kujitoa. Click to expand... Mhemko wa 2015 ulimgharimu hata Mzee wetu Mwanri. Ila tusirudie makosa
Gerald .M Magembe said: Mihemko ya Lowassa ilisaidia watu wengi, Sugu akiwa mmoja wapo; Leo hakuna mihemko , suala ni ufahamu wa mtu na jinsi anavyo weza kujitoa. Click to expand... Mhemko wa 2015 ulimgharimu hata Mzee wetu Mwanri. Ila tusirudie makosa
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 7,682 Reaction score 9,529 Jun 19, 2020 Thread starter #15 900 Inapendeza zaidi said: na atashinda tena Click to expand... Naona umejigeuza Msimamizi wa uchaguzi ghafla. Jiandae kisaikolojia
900 Inapendeza zaidi said: na atashinda tena Click to expand... Naona umejigeuza Msimamizi wa uchaguzi ghafla. Jiandae kisaikolojia
F Fundi Mchundo Platinum Member Joined Nov 9, 2007 Posts 12,244 Reaction score 10,323 Jun 19, 2020 #16 softG said: Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo. Kila la heri watia nia. Click to expand... Mnataka mbunge atakae kuwa tayari kuwapigania au ambae atafanya mtembee kifua mbele kutokana na usomi wake? Amandla......
softG said: Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo. Kila la heri watia nia. Click to expand... Mnataka mbunge atakae kuwa tayari kuwapigania au ambae atafanya mtembee kifua mbele kutokana na usomi wake? Amandla......
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 17,275 Reaction score 24,130 Jun 19, 2020 #17 Wewe huna haki ya kuwasemea wanambeya maamuzi yatajulikana October
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 7,682 Reaction score 9,529 Jun 19, 2020 Thread starter #18 Fundi Mchundo said: Mnataka mbunge atakae kuwa tayari kuwapigania au ambae atafanya mtembezea kifua mbele kutokana na usomi wake? Amandla...... Click to expand... Miaka 10 ya SUGU kafanya nini Mbeya zaidi ya kujineemesha binafsi? Show off mitandaoni. Huku Wapiga kura wamezungukwa na umaskini wa kutupa
Fundi Mchundo said: Mnataka mbunge atakae kuwa tayari kuwapigania au ambae atafanya mtembezea kifua mbele kutokana na usomi wake? Amandla...... Click to expand... Miaka 10 ya SUGU kafanya nini Mbeya zaidi ya kujineemesha binafsi? Show off mitandaoni. Huku Wapiga kura wamezungukwa na umaskini wa kutupa
Kimoni JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 234 Reaction score 348 Jun 19, 2020 #19 softG said: Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo. Kila la heri watia nia. Click to expand... Sawa Tulia Ackson tumekusikia na kura hatukupi
softG said: Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo. Kila la heri watia nia. Click to expand... Sawa Tulia Ackson tumekusikia na kura hatukupi
mr chopa JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 5,296 Reaction score 13,740 Jun 19, 2020 #20 softG said: Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo. Kila la heri watia nia. Click to expand... Naunga mkono
softG said: Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo. Kila la heri watia nia. Click to expand... Naunga mkono