Mbeya long time kitambo

na kocha akitaka kumtoa alijua anagoma anadai timu yangu halafu unitoe anamgomea kocha, walikua wakiingia uwanjani na 109 dereva yeye nakumbuka enzi hizo ligi daraja la tatu mkoa kifwamba inaingia na 109 mecco wanaingia na roli la kirusi
Nimecheka sana kwenye "CHAKULA BARAFU" (ambapo sasa ni City Pub). Ni mojawapo ya madhara ya ubinafsishaji usio jali hali halisi. Nilikua naishi opposite na hapo.
Mmenikumbusha mbali sana na stori zenu za Mbeya. Kifamba alifariki kunako 2007. Alikua anatokea Igoma na timu yake. Yale malori ya Kurusi kutoka MTC nimeyapanda sana wakati nazamia mechi pale Sokoine enzi za MECCO. Dah. Asante Bujibuji kwa kumbukumbu hizi
 
ha ha haaa Kifwamba Rangers .....ilikuwa timu ya tajiri mmoja mnene enzi hizo.....mara moja moja alikuwa akipewa namba tisa aingie kupiga soka .....ilikuwa vituko....nasikia alikufa huyo mwenye kifwamba
nmelishuhudia chama hili,ata Marehemu kifwamba nimebahatika kumuona.Enzi hizo wanacheza na locus
 
Bujibuji kuna new cats walikuja akina Gaga kadege, Kabwebwe, Dezi, Mike Losso(producer) wapo..
 
We wa home kabisaaaa
Nakumbuka enzi hizo Uncle Ngwisa Mapugilo,alikuwa mbabe hasa Mbeya manispaa walikataza kuchunga n'gombe pale makuburi ya Loleza,yeye akapeleka n'gombe,kuchunga akatumiwa polisi hii issue Nilishuhudia live aliwapiga na akaenda kuchukua shoka kufuata mifugo yake siku kadhaa mbele wakamkamata baada ya kupiga bomu la machozi sokomatola hiyo
 
Ahaaaa hujalitaja chama langu Saitama pale kiwanja ngoma lazima pachimbike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…