Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,169
- 48,451
Nimesoma enzi hizo miaka ya mwishoni mwa sabini. Siku ya kwanza nilitinga shule na makatambuga, dah bakora zake mpaka leo sisahau. Enzi hizo Mkuu wa Mkoa alikuwa Kingunge ngombare Mwiru na mwanawe mmoja tulisoma naye pale Azimio!Umenikumbusha mwalimu mkuu wangu wa Azimio shule ya msingi alikuwa anaitwa mwangomile, aisee alikuwa anachapa bakora yaani ndugai haoni ndani kabisa
Nimesoma enzi hizo miaka ya mwishoni mwa sabini. Siku ya kwanza nilitinga shule na makatambuga, dah bakora zake mpaka leo sisahau. Enzi hizo Mkuu wa Mkoa alikuwa Kingunge ngombare Mwiru na mwanawe mmoja tulisoma naye pale Azimio!
Bujibuji kanikumbusha mambo ya Mang'ang'a na mafyulizi. Wakati huo nikiwa nimetokea Dar nawasimulia watu kwamba nilifukuzwa na "bonge la Ng'ang'a" wenyewe hawaelewi kwani kwao Mang'ang'a ni tunda wakati kwa Dar ilikuwa ni Mbwa.
Umeona ehhJapokuwa sio mzawa wa Mbeya ila nilienjoy sana wakati huo nasoma Southern Highland. Kuna wahuni Sido waliniibia pesa yangu wakati nimeenda kudaka nguo asubuhi. Mbeya taam sana Mamajoni, Hali ya hewa(airport ya zamani), Isengo, Pambogo, Block T, Soweto, Ilomba, Maendeleo hizo zote zilikuwa pande zetu
Watoto na wajomba wa kingunge ngombale mwiru walikuwa kinjekitile, Ruta na kaziNimesoma enzi hizo miaka ya mwishoni mwa sabini. Siku ya kwanza nilitinga shule na makatambuga, dah bakora zake mpaka leo sisahau. Enzi hizo Mkuu wa Mkoa alikuwa Kingunge ngombare Mwiru na mwanawe mmoja tulisoma naye pale Azimio!
Bujibuji kanikumbusha mambo ya Mang'ang'a na mafyulizi. Wakati huo nikiwa nimetokea Dar nawasimulia watu kwamba nilifukuzwa na "bonge la Ng'ang'a" wenyewe hawaelewi kwani kwao Mang'ang'a ni tunda wakati kwa Dar ilikuwa ni Mbwa.
Bila shaka. Zama hizo pale shuleni Azimio kulikuwa na "mahandaki" yaliyochimbwa enzi za vita na Amin.Watoto na wajomba wa kingunge ngombale mwiru walikuwa kinjekitile, Ruta na kazi
Sawa kabisaBila shaka. Zama hizo pale shuleni Azimio kulikuwa na "mahandaki" yaliyochimbwa enzi za vita na Amin.
Daaaah! Kumbe familia ya AZIMIO, shule ya zamani ya WAHINDI tupo wengi humu! Enzi nzetu Wasomari kibao shuleni hapo!Bila shaka. Zama hizo pale shuleni Azimio kulikuwa na "mahandaki" yaliyochimbwa enzi za vita na Amin.
Nilikaa miaka zaidi ya ishirini na tano. Niliporudi Mbeya nilikwenda hadi Jacaranda tulipokuwa tunaishi. Kwa kweli ilikuwa kumbukumbu nzuri sana.Sawa kabisa
Hata mimi nilikuwa naishi jakaranda kwenye zile kota za Serikali bàadaye waliuziwa watu binafsiNilikaa miaka zaidi ya ishirini na tano. Niliporudi Mbeya nilikwenda hadi Jacaranda tulipokuwa tunaishi. Kwa kweli ilikuwa kumbukumbu nzuri sana.
Aisee. Kuna nyumba ya kina Kajigili pale karibu na Moravian jirani yao. Nakumbuka kuna jamaa yangu alikuwa anaitwa Amini na kina Mwaikakile. Kwenye zile kota kulikuwa kuna mtu anaitwa Mfula Mohamed.Hata mimi nilikuwa naishi jakaranda kwenye zile kota za Serikali bàadaye waliuziwa watu binafsi
Yaaaa.Yeye wa Kwanza.Mimi wa TatuNegwako Mwasanyula ni dada yako?
Asante sana watoto wa forestYaaaa.Yeye wa Kwanza.Mimi wa Tatu
Nakumbuka Forest wakati ule ikiwa bado na miti ilikuwa inatumika kwa kumwagia maji machafu yanayonyonywa toka kwenye nyumba za watu. Mbeya ndiyo kwa mara ya kwanza nilikula Katapela kwa ndizi (mbalaga) Kavuu. Hiyo ilikuwa mabatini eneo fulani lilikuwa na kiwanda cha kutengenezea pipi.Asante sana watoto wa forest
Zile kota za radio Tz?Hata mimi nilikuwa naishi jakaranda kwenye zile kota za Serikali bàadaye waliuziwa watu binafsi
Hivi ile minara bado ipo? Kwenye zile kota karibu na ile minara alikuwa anaishi Anko yangu mmoja Albino alikuwa anafanya kazi Hospitali ya Mkoa wakati huo.Zile kota za radio Tz?
Mwalimu MsuyaWale wa Muungano Primary kulikuwa na mwalimu Mwailima,Mecky,John David,Mamkwe etc bila kumsahau Ester David