Mbeya Kumekucha "Mulugo Ampiku Sugu"

Utawajua kwa kutokujua wajibu wao. Kwani jimbo la Mlugo ni Mbeya? Hivi kule kwake amewatekelezea yapi wapiga kura wake? Kama alijiona ni zaidi ya SUGU si angegombea jimbo Mbeya ili aone ambavyo angegaragazwa?
 
mmmhhh sijuii itasaidia kilo ya sukari kushuka bei?
 
Wanachama na wafuasi wa CDM mliopo JF, wakati mwingine mkae chini na kutafakari, SUGU maji ni mazito kule Mbeya wananchi wamegundua Ubunge si sawa na kurap

kwa kujifanya msemaji wa wanambeya mpaka umekuwamwongo kama gazeti la majira.umeandika kuwa kule mbeya wanasema.kule mbeya ni mbeya ya wapi hiyo?kama unamaana ya mbeya kama mbeya kwa taarifa yako wanambeya wanasema mbeya ni nchi rais wake ni Sugu.
 
Shirika la Kilimo Tanzania, nakumbuka walikuwa na mashamba ya nguruwe kwenye bonde la Msimbazi


Kumbe unalijua hili shirika la CCM likiingozwa na kada wa CCM Mzee Kapinga wakati ule. Huwezi hata siku moja kuyatenga magazeti ya Majira, Business Times na vyombo vingine vinavyohusiansa na haya kutoka CCM. Uwepo wake umesaidia sana kukuza Demokrasia nchini, na kwa namna fulani unaweza kukiri ni moja ya jitihada za CCM na Serikali yake kwa ujumla kuanzisha mbinu za kulea free thinking, freedom of expression, lakini pia ilikuwa njia ya kutengeneza "jini likujualo."

Magazeti yaliyokuwa truly indipendent kama Family Mirror, Shaba, Wakati ni Huu na Heko yalijengewa mazingira yasiendelea kuwapo kwa sababu haya yalikuwa "majini" yasiyoijua CCM na Serikali yake. Huwezi hata siku moja kuitenga CCM na Majira. So kuna upande fulani mzuri wa Majira katika mtizamo wa ujenzi wa Demokrasia Tanzania, japo kuna upande fulani politically shaddy hivi. Gazeti hili si huru kihiiiiivyo!
 
wale wamenunulia wala sio madreva bodaboda bali ni madreva bajaj za mataili matatu. hawa ni wale walio funguliwa tawi na murugo na kupewa mil 1. sio watu 300 bali ni watu 30. mia
 
 
Hili lilishatolewa ufanunuzi na SUGU siku ya kwanza kabisa kitu kilichofanyika na hizo sababu ulizozitoa si za ukweli, ukweli ni kuwa hiyo SACCOS imeanzishwa na vijana wenye na SUGU ndio alitakiwa kuwa mgeni rasmi. Siku chache kabla ya tukio, Mulugo aliwaita viongozi akawahonga fedha na kuwaahidi kuchangia kiasi kikubwa ili mradi yeye ndio achaguliwe kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi ule. SUGU amekua akiwapigania muda wote wale vijana wa bodaboda, hakuna ukweli wowote kuwa amewatenga ila rushwa kwa viongozi imefanya kazi yake.
 
Ha...ahaaaa ZIMBABWE ISLANDS + TANGANYIKA = TANZANIA hivi huyo jamaa ni philip mulugo au nilickia ka anaitwa HASHIM vile ...jamani mnaomfahamu vizuri tupeni ukweli hapa ili tumchukulie hatua ya kudanganya
 

Mbunge yeyote wa Chadema iwe ni mwiko kukaa ofisini kwani huko ataishia kubuni ufisadi lakini akiwa field atafanyia utafiti matatizo ya wananchi. Sugu huo ni ujumbe tosha. Wengine TAKE CARE vinginevyo............ Ubunge wenu 2015 kwa heri
 
Mulugo atafilisika asipopata washauri wazuri boda boda hasa wa mikoa ya Mbeya na Mwanza ni wanazi wakubwa wa sera ya KULA CCM,KURA CDM, nakumbuka hata mwaka jana pale Kirumba Stadium kwenye birthday ya ccm...viongozi na wawakilishi wa waendesha bodaboda na machinga walipanda jukwaani na kukiri kuiunga mkono ccm mkoani humo na baadaye wakapewa nafasi ya kula pamoja na JK kisha wakafanya naye mkutano wa ndani, hiyo ilikuwa February, 5, 2012 na ilipofika April, 01 mwaka huohuo pakawa na uchaguzi mdogo wa diwani kata ya Kirumba,ccm wanajua aibu waliyoipata, Mullugo aka Amin watch out
 
vijana 300 hebu tu jarimu kutoa na wale walio mfanya sugu kuwa mbunge na fikiri still kuna watu wengi wamebaki kama wapiga kura wa sugu

pili vijana 300, je ni wangapi wana vitambulisho vya kupigia kura mpaka muda huu unaweza kuona hi sawa na kuchota maji kwa kikombe kwenye bahari.

tatu vijana 300, je ni wanachama wa chama gani wanaweza kuwa wote ni ccm then ndio hao waliopiga kura na wakashindwa kwa kiwango kikubwa cha kura cha waliochoka utawala wa mafisadi

tujifunze kuchunguza hoja zetu kabla ya kuzileta kwenye jamiii
 
walishikwa kwa kosa la kuieneza chadema,kwa hiyo badala ya kushikwa wameona wajipelake wenyewe, hao sio makamanda hawatufai
 
WAACHE WAJIDANGANYE, TOKA MFUMO WA VYAMA VINGI UANZE NCHINI, JIMBO LA MBEYA MJINI LIMESHIKILIWA NA WABUNGE WA UPINZANI MARA NYINGI ZAIDI KULIKO CCM.mbeya huko huko, kikwete alipopolewa mawe kama maembe mtini, spirit hiyo ingalipo.

Mlugo mnunuzi wa mitihani na mnunuzi wa vyeti hashindwi kukunua hadhira kama ilivyo kwa ccm kote waoendako.Mwuulize mlugo hao bodaboda aliwanunuliwa mafuta kiasi gani.na kwa nini bodaboda tu, hao raia wengine vipi,hawakuwepo?
majira mmenunuliwa na mlugo ili uandike upuuzi huo?
 
Masanilo, Sasa kuambiwa kuwa Cdm hali mbaya basi ishakuwa thread ya kijinga sio! nyie bana! mtu kaweka na source ni gazeti bado hutaki!
kwa maneno ya kichwa cha habari hapo juu, jamaa huyu ana mgao wake kwa wanamagamba, kula uliwe
 


Hizo porokjo tu, Mulugo Mbeya mjini hawezi kushinda hata nafasi ya mwenyekiti wa mtaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…