Usipojenga ufa utajenga ukuta puuuza puuza yenu itawacost
Wanachama na wafuasi wa CDM mliopo JF, wakati mwingine mkae chini na kutafakari, SUGU maji ni mazito kule Mbeya wananchi wamegundua Ubunge si sawa na kurap
Shirika la Kilimo Tanzania, nakumbuka walikuwa na mashamba ya nguruwe kwenye bonde la Msimbazi
Katika hali inayoashiria kupimana ubavu katika jimbo la Mbeya Mjini ambalo mbunge wake ni Joseph Mbilinyi a.k.a. "SUGU" kupitia CHADEMA na Naibu Waziri wa Elimu, Philip Mulugo imezidi kupamba moto baada ya vijana zaidi ya 300 waendesha boda boda kuhama kambi ya Sugu na kujiunga rasmi kambi ya Mulugo. Vijana hao ambao walikuwa ni nguvu na tegemeo la SUGU na CHADEMA kwa ujumla katika harakati za kisiasa jijini Mbeya, wamempa Mulugo fursa ya kuwa mlezi wao kwa vile SUGU amedhihirisha kuwa ni mbabaishaji na hayuko karibu na wananchi. Hizi ni dalili tosha kuwa zama za SUGU na CHADEMA jijini Mbeya zinafikia ukingoni. Mulugo ameonyesha mfano kwa kuwawesha vijana kuanzisha SACCO na kuchangia shilingi milioni 1 na laki 4 kwa nia ya kuomgeza wigo wa kuendesha shughuli za kujiletea vipato, jambo ambalo SUGU alishindwa kulifanya tangia achaguliwe kuwa mbunge, pia vijana husika wamechukia kitendo cha SUGU kutoenda kuwajulia hali walipokuwa wameshikwa kwa kosa la kuleta mtafaruko kwa lengo la kuieneza CHADEMA.
Hapo high lighted panahusika
Thread ya kijinga hii....

Chanzo; Gazeti la Majira, Januari 15, 2013
walishikwa kwa kosa la kuieneza chadema,kwa hiyo badala ya kushikwa wameona wajipelake wenyewe, hao sio makamanda hawatufaiKatika hali inayoashiria kupimana ubavu katika jimbo la Mbeya Mjini ambalo mbunge wake ni Joseph Mbilinyi a.k.a. "SUGU" kupitia CHADEMA na Naibu Waziri wa Elimu, Philip Mulugo imezidi kupamba moto baada ya vijana zaidi ya 300 waendesha boda boda kuhama kambi ya Sugu na kujiunga rasmi kambi ya Mulugo. Vijana hao ambao walikuwa ni nguvu na tegemeo la SUGU na CHADEMA kwa ujumla katika harakati za kisiasa jijini Mbeya, wamempa Mulugo fursa ya kuwa mlezi wao kwa vile SUGU amedhihirisha kuwa ni mbabaishaji na hayuko karibu na wananchi. Hizi ni dalili tosha kuwa zama za SUGU na CHADEMA jijini Mbeya zinafikia ukingoni. Mulugo ameonyesha mfano kwa kuwawesha vijana kuanzisha SACCO na kuchangia shilingi milioni 1 na laki 4 kwa nia ya kuomgeza wigo wa kuendesha shughuli za kujiletea vipato, jambo ambalo SUGU alishindwa kulifanya tangia achaguliwe kuwa mbunge, pia vijana husika wamechukia kitendo cha SUGU kutoenda kuwajulia hali walipokuwa wameshikwa kwa kosa la kuleta mtafaruko kwa lengo la kuieneza CHADEMA.
Chanzo; Gazeti la Majira, Januari 15, 2013
aende mtwara akaseme kuhusu gesiThread ya kijinga hii....
WAACHE WAJIDANGANYE, TOKA MFUMO WA VYAMA VINGI UANZE NCHINI, JIMBO LA MBEYA MJINI LIMESHIKILIWA NA WABUNGE WA UPINZANI MARA NYINGI ZAIDI KULIKO CCM.mbeya huko huko, kikwete alipopolewa mawe kama maembe mtini, spirit hiyo ingalipo.Katika hali inayoashiria kupimana ubavu katika jimbo la Mbeya Mjini ambalo mbunge wake ni Joseph Mbilinyi a.k.a. "SUGU" kupitia CHADEMA na Naibu Waziri wa Elimu, Philip Mulugo imezidi kupamba moto baada ya vijana zaidi ya 300 waendesha boda boda kuhama kambi ya Sugu na kujiunga rasmi kambi ya Mulugo. Vijana hao ambao walikuwa ni nguvu na tegemeo la SUGU na CHADEMA kwa ujumla katika harakati za kisiasa jijini Mbeya, wamempa Mulugo fursa ya kuwa mlezi wao kwa vile SUGU amedhihirisha kuwa ni mbabaishaji na hayuko karibu na wananchi. Hizi ni dalili tosha kuwa zama za SUGU na CHADEMA jijini Mbeya zinafikia ukingoni. Mulugo ameonyesha mfano kwa kuwawesha vijana kuanzisha SACCO na kuchangia shilingi milioni 1 na laki 4 kwa nia ya kuomgeza wigo wa kuendesha shughuli za kujiletea vipato, jambo ambalo SUGU alishindwa kulifanya tangia achaguliwe kuwa mbunge, pia vijana husika wamechukia kitendo cha SUGU kutoenda kuwajulia hali walipokuwa wameshikwa kwa kosa la kuleta mtafaruko kwa lengo la kuieneza CHADEMA.
Chanzo; Gazeti la Majira, Januari 15, 2013
kwa maneno ya kichwa cha habari hapo juu, jamaa huyu ana mgao wake kwa wanamagamba, kula uliweMasanilo, Sasa kuambiwa kuwa Cdm hali mbaya basi ishakuwa thread ya kijinga sio! nyie bana! mtu kaweka na source ni gazeti bado hutaki!
Hao siyo wale vijana wanye kauli mbiu yao ya kula CCM kulala CDM. Tusubiri 2015 tuone