Mbeya kumechafuka, dereva bajaj na police

Mbeya kumechafuka, dereva bajaj na police

Vasco wa degamer

Senior Member
Joined
Feb 21, 2016
Posts
194
Reaction score
144
Sitaki kuelezea zaidi nimeamua kukimbia

Bajaji.jpg
 
Poleni sana, hizo zote ni dalili mbaya kuwa nchi inakoelekea siko
 
Hebu Malafyale mmoja achomoke pembeni halafu atupe kwa ufupi tafadhali.
 
Sitaki kuelezea zaidi nimeamua kukimbia

Siku chache zilizopita dereva bajaj waliamuliwa kutotumia barabara kuu badala yake watumie barabara za pembeni, inasemekana walikaidi amri hiyo ikapelekea baadhi yao kusombwa na kupelekwa mahabusu,

Leo kesi yao ilikuwa inasikilizwa ikabidi dereva bajaj wenzao wakusanyike kwa umoja wao kwenda kufatilia kesi hiyo ikiwa nipamoja na kulazimisha wenzao wapewe dhamana kitu ambacho kimeshindikana na kusababisha vurugu hili.
1481724699336.jpg


View attachment 446155
 
Ingependeza sana kama askari wetu wa Polisi wangepelekwa kulinda mitaa huko Mosul na Tikrit, Allepo, Syria bila ya kusahau Mogadishu hapo.. Weledi wao uko juu, huku Tanzania wanatumia risasi za tembo kuulia sungura tuu..

Ni mawazo yangu tuu haya lakini..
 
Back
Top Bottom