Aisee angevuta sigara tatu ingekuwa heka 33Aiseee sigara moja heka 11
Wapige marufuku uvutaji sigaraMoto mkubwa ulio sababishwa na vijana walio kua wakivuta sigara Mkoani mbeya unateketeza Mashamba ya Ngano ya chuo cha kilimo Uyole...
Source ITVView attachment 1178282
Mmh mkuu utawapeleka wapi wale TCC shauri yako..Wapige marufuku uvutaji sigara
Kwaio moto ndio kwamba..!?Uchaguzi umekaribia
Basi wapige marufuku viberiti 😃😂😃😂Mmh mkuu utawapeleka wapi wale TCC shauri yako..
Basi wapige marufuku viberiti
Wapumzike kwa amani mipunga?Mwenyezi Mungu atusamehe jamani
Wapumzike kwa amani
Wapumzike kwa amani wakina nani, wavuta sigara?Mwenyezi Mungu atusamehe jamani
Wapumzike kwa amani
Waliofariki kwa motoWapumzike kwa amani mipunga?