Mbeya Jiji

Baba Wille

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
548
Reaction score
556
Wadau hapa Mbeya Jijini huwa mnaenda wapi? Mi mgeni naona pamekaa hovyo hovyo tuu sijui hata pa kuanzia. Please advice!
 
Wadau hapa Mbeya Jijini huwa mnaenda wapi? Mi mgeni naona pamekaa hovyo hovyo tuu sijui hata pa kuanzia. Please advice!
Inategemea unataka kwenda kufanya nini..!! kama kuangalia mpira saa hizi Sokoine pale hakuna mechi..!! Kama kununua mitumba, Mwanjelwa washafunga usiku huu..!!! Mafyurisi mida hii si Sokomatola wala Mwanjelwa utakakoyapata..!! Sema unataka nini ili wana wakupe location.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kweli...angekua specific ni Nini anataka muda huu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kweli...angekua specific ni Nini anataka muda huu

Basi yaishe wakuu, watu wazima nyie, sema yasiwe mambo ya hovyo sana.. yawe yale ambayo hata asubuhi hukimbii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1474]
 
Kwenda wapi kivipi?Sehemu huijui lakini unazodoa utadhani una jiji lako ulilojijengea mwenyewe!

Mkuu, jijini pangu ni Dar sasa huku mkoani kidogo ni technical, jijini ukishafika kitambaa cheupe umemaliza ila hapa ni shida! [emoji23]
 
Mkuu, jijini pangu ni Dar sasa huku mkoani kidogo ni technical, jijini ukishafika kitambaa cheupe umemaliza ila hapa ni shida! [emoji23]
Vema.Basi,unapotaka uelekezwe uulize kiungwana.Swali ulilouliza kwa undani lilijaa dharau.
 
Utakesha hapo hakuna pa kwenda,we nenda kanisani tu,mji umejaa nakanisa
 
Unajuwa hajasema anataka kwenda kufanya nini..!! Aseme kama ni dada poa aambiwe waliko
Siyo mjanja huyo.Wajanja huwa wanaenda kwa hisia na kunusa.Utashtukia tu anachotaka anacho tayari au kama ni eneo la burudani kafika.Uendapo sehemu unatakiwa upate "michoro" kabla haujafika huko.Huyo bado mchanga sana.Mwisho atauliza ugali wanauza wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…