middo lulyheart
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 260
- 98
Katika biashara zangu huwa nafika mikoani.
Mkoa mmoja nafika natembelea ni Mbeya.
Kwa mara tofauti nikaulizia sehemu ya nyama/kuku choma nikaambiwa Carnival (karibu na Mafiati,Mwanjelwa) na Mbeya Pazuri, Sae kuelekea Uyole.
Nilikuwa Mbeya Pazuri wiki iliyopita.
Sehemu zote hizi kuku choma nilizoagiza ni mbaya, mbaya, mbaya mno.
Kuku hajapakwa viungo wala vilainishi nyama na ana shombo.
Nyama inatiwa kwenye mafuta yaliyo chemshwa na kutolewa hivyo hivyo.
Nyama ngumu kama manati.
Mbeya mkoje lakini?
Chakula kinatoka huko kuja Dar lakini hamjui kupika.
Wadau huko tupeni sehemu nzuri kwa vitafunwa na moja baridi.
Sehemu nzuri kwa nyama choma sio maarufu sana hivyo ni ngumu kufahamu ukiwa mgeni ndio utaishia hayo maeneo ya K Vant
We zitaje tu.
Wasafiri tunapenda nyama choma safi, muziki na moja baridi.
Kwani ukizitaja utafilisika?
ww unapenda nyama za kupaka rangi? kuku wa kisasa anakuaje mgumu kwa mfano yan mm nikiwa huku dar napata tabu sana kula kuku au mishikaki wanalainisha inakuwa kama ugali alaf viungo vingi kuliko nyama yenyewe bado marangi mengi eti kuku anakua wa njano ni utoto wa waziwazi kikubwa kila sehemu na culture yake so usitake watu wamkoa flani wale kama wa mkoa flanKatika biashara zangu huwa nafika mikoani.
Mkoa mmoja nafika natembelea ni Mbeya.
Kwa mara tofauti nikaulizia sehemu ya nyama/kuku choma nikaambiwa Carnival (karibu na Mafiati,Mwanjelwa) na Mbeya Pazuri, Sae kuelekea Uyole.
Nilikuwa Mbeya Pazuri wiki iliyopita.
Sehemu zote hizi kuku choma nilizoagiza ni mbaya, mbaya, mbaya mno.
Kuku hajapakwa viungo wala vilainishi nyama na ana shombo.
Nyama inatiwa kwenye mafuta yaliyo chemshwa na kutolewa hivyo hivyo.
Nyama ngumu kama manati.
Mbeya mkoje lakini?
Chakula kinatoka huko kuja Dar lakini hamjui kupika.
Wadau huko tupeni sehemu nzuri kwa vitafunwa na moja baridi.
watu wa mbeya hawawezi kula kuku za kupakwa rangi labda walogwe nyama laini kama ugali hainaga ladha viungo vingi kuliko mboga yenyewe ni mapishi ya dar hayoKaribu mbeya
Jiji zuri na chakula kibao .
Uliza wenyeji .
Ukiona hawajuie njoo uchome wewe sisi by nature sio wafugaji ni wakulima.
Changamkia fursa kama una ujuzi
Sio bar mkuu, ni kijiwe tu panapatikana vyakula vya aina mbalimbali ...Mkuu Soweto iko sehemu gani Mbeya mjini.
Taja bar tu, nikirudi huko nitapatafuta.
Kuna muda ukiwa hujui kitu vizuri, jitahidi kutulia na kuuliza vema...inaitwa busara..Hamna cha Soweto Wala Nini nyama choma wako sifuri anakupotezea muda tu huyo.Kwenye nyama choma mbeya mjini Ni janga la kitaifa wako sifuri
Kuna ukweli mfano pilau la hiyo mikoa ukiila wewe shujaa.Hawajui kupika kabisa pilauKama umezoea misosi ya daslamu huwezi kuridhika na misos inayopikwa mikoa mingi ya Tz kama iringa mbeya, rukwa dodoma nk
😂😂😂😂😂Kuna ukweli mfano pilau la hiyo mikoa ukiila wewe shujaa.Hawajui kupika kabisa pilau
Watu waliozoea kula misukule ya kuku utawajua tu.Wanaume wa kinondoni bhna....
Yani umekutana na kuku orijino unasingizia hawana viungo sema huna meno umezoea broila ndugu kuku wa mbeya huna haja ya kurembea na make up ili upate radha
We mtu unataka Nyama choma halafu unaenda sehemu wanazouza nyapu..eti nikaenda Mbeya Pazuri na Carnival!! Are you sane bro? Hizo ni sehemu za kununua tungi na Malaya, siku nyingine uliza wenyejiKatika biashara zangu huwa nafika mikoani.
Mkoa mmoja nafika natembelea ni Mbeya.
Kwa mara tofauti nikaulizia sehemu ya nyama/kuku choma nikaambiwa Carnival (karibu na Mafiati,Mwanjelwa) na Mbeya Pazuri, Sae kuelekea Uyole.
Nilikuwa Mbeya Pazuri wiki iliyopita.
Sehemu zote hizi kuku choma nilizoagiza ni mbaya, mbaya, mbaya mno.
Kuku hajapakwa viungo wala vilainishi nyama na ana shombo.
Nyama inatiwa kwenye mafuta yaliyo chemshwa na kutolewa hivyo hivyo.
Nyama ngumu kama manati.
Mbeya mkoje lakini?
Chakula kinatoka huko kuja Dar lakini hamjui kupika.
Wadau huko tupeni sehemu nzuri kwa vitafunwa na moja baridi.
Kumbe kuna fursa wakaskazini tusogee sioKatika biashara zangu huwa nafika mikoani.
Mkoa mmoja nafika natembelea ni Mbeya.
Kwa mara tofauti nikaulizia sehemu ya nyama/kuku choma nikaambiwa Carnival (karibu na Mafiati,Mwanjelwa) na Mbeya Pazuri, Sae kuelekea Uyole.
Nilikuwa Mbeya Pazuri wiki iliyopita.
Sehemu zote hizi kuku choma nilizoagiza ni mbaya, mbaya, mbaya mno.
Kuku hajapakwa viungo wala vilainishi nyama na ana shombo.
Nyama inatiwa kwenye mafuta yaliyo chemshwa na kutolewa hivyo hivyo.
Nyama ngumu kama manati.
Mbeya mkoje lakini?
Chakula kinatoka huko kuja Dar lakini hamjui kupika.
Wadau huko tupeni sehemu nzuri kwa vitafunwa na moja baridi.
Hivi kuna vibao vinaonyesha hapa wapata nyapu a.k.a K Vant ,na kibao kinaonyesha sehemu ya nyama choma nzuri?We mtu unataka Nyama choma halafu unaenda sehemu wanazouza nyapu..eti nikaenda Mbeya Pazuri na Carnival!! Are you sane bro? Hizo ni sehemu za kununua tungi na Malaya, siku nyingine uliza wenyeji
Mmezoea kula kuku waliotoka kupiga kwata!Wanaume wa kinondoni bhna....
Yani umekutana na kuku orijino unasingizia hawana viungo sema huna meno umezoea broila ndugu kuku wa mbeya huna haja ya kurembea na make up ili upate radha
Haya ninong'oneze kidogo, hiyo sauti gwa jipilike kugu gwe kalindwana ugwe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa sauti yaoo hahaha