Mbeya hawajui kabisa nyama choma

Penye fursa ndipo kwenye kutengeneza hela, ukienda hapo na malaji yenye ladha utapata wateja wengi sana. Usimuamshe alo lala akiamka utaikosa bahati.


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Bonge la investment ukiwa na mtaji means unaagiza viungo baadhi mkoani halafu unaandaa hapo
 
Umeanza na lugha chafu halafu bado unataka tukusaidie !
 
Mimi ni 6 yrs, sijui kama bado hii huduma inapatikana. Wale jamaa walikuwa vizuri sana kwa kitimoto.
 
Nenda nasoma pale mama John nyama choma ya ngombe na mbuzi safi. Nenda city pub nyuma choma ngombe mbuzi kuku safi labda kwa city pub ulishindwa bei ipo juu. Kitimoto nenda kwa Bashiri pale Soweto kitimoto loast safi taamu. Kitimoto ya kuchoma nenda pale mafiati karibu na SH amon kuna bar wanachoma vizuri kabwe hutojuta
 
Nikirudi Mbeya nitapita sehemu hizo.
 
We mwenye mshamba tu.Kosa la hoteli moja au mbili unajumuisha mkoa mzima.
 
Hujaenda mitaa ya soweto karibu na nkwe Zulu ukafurahi sio unaenda sehemu za mabrother men hizoo
 
Fursa hiyo wachaga changamkieni.Mikoa ambayo watu SI wafugaji Kama mbeya nyama choma kweli hawajui.Hata ukienda kagera,Lindi,mtwara, ruvuma, nk Tatizo ni Hilo hilo
Kagera gani hayo ambayo sio wafugaji.

Wakati kagera ni ya nne Kwa idadi ya mifugo nchini.
 
Kama umezoea misosi ya daslamu huwezi kuridhika na misos inayopikwa mikoa mingi ya Tz kama iringa mbeya, rukwa dodoma nk

Iringa mbona kuna bar wanachoma nyama vizuri sana? Mfano Miami. Mbeya bado kuna shida shida
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…