MBEYA HAKUFA MTU

MBEYA HAKUFA MTU

sunguramjinga

Senior Member
Joined
May 11, 2023
Posts
175
Reaction score
227
#HABARI Waziri wa Maliasili Mohamed Mchengerwa na RC Mbeya wamefika Kijiji cha Mwanavala wilayani Mbarali kutokana na agizo la Waziri Mkuu la kuwataka kufika ili kuona hali ya ugomvi uliotokea baina ya wananchi na Askari wa TANAPA na kubaini hakuna vifo wala mifugo iliyoshikiliwa wala ng'ombe waliouawa.

Hoja hiyo ya vurugu kati ya wananchi na wahifadhi wa TANAPA iliibuliwa na Mbunge wa Mbarali, Fransis Mtega, aliyeomba kutoa hoja ya dharura ya kulitaka Bunge lijadili suala hilo na ndipo @kassim_m_majaliwa alipotoa maelekezo.

"Nimesikitishwa na kauli za Mbunge malalamiko na shutuma zake zimeleta taharuki ambayo sijaikuta eneo hili na wananchi wamekiri kuingia ndani ya eneo hili na wameiomba serikali kuharakisha mchakato wa kuwatafutia maeneo ya kuishi" amesema Waziri Mchengerwa

1683988061761.png

#EastAfricaTV
 
View attachment 2620466

#EastAfricaTV
Case closed
 
Ahaa kwahio anamaanisha all is well as long hakuna kifo..., hapo sawa
 
Kwahiyo Mh Mbunge katuingiza chaka?.Lkn ukweli askari wa Tanapa wana Usengelema mwingi sana.
 
Mbunge Alitaka Air Time Akaona Apige Sarakasi Akiwa Kavaa Msuli Ili Watu Waone Yaliyomo Yamo, Ila Ccm Msiwaamini Sana Wanawaweza Kutengeneza Kaole Sanaa Group Nzuri Tu
 
Back
Top Bottom