Bora ungeacha tu....
Kijiji kikubwa cha Kusini mwa Tanzania.
Kwani Kna mashindano ya magorofa hapaKijitonyama (Dsm} iko modernized majengo kulilo Mbeya city center!
Hyo njia ya kwenda Ghana syo....duh mm mbeya nmekaa chimala,jakaranda,blok t,napakumbuka Kwa mama john,alafu nlikuwa nakwendaga mlimani Kwa wasafwa kununa piches na kuleta dar wasafwa hata kiswahili walikuwa hawajui umenikumbusha maana mbaya nshapiga mishe sana mpaka tunduma na kyela to tukuyu
Mahali ambapo pana maisha rahsi hapana hela...na hakuna proper investmentMbeya kunzuri sna hali ya hewa safi maisha rahisi sna
Karibu ruangwaNataman sana nifike
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Sio joto ongezea uchafu yani pananuka
Wachache sana ndio tumekuelewa katika hili! Ulichosema ni ukweli mtupuMahali ambapo pana maisha rahsi hapana hela...na hakuna proper investment