hamna tatizoKijiji kikubwa cha Kusini mwa Tanzania.
Kweli kabisa mkuuTANZANIA ukiitoa DSM mikoa mingine yote inafanana kwa maendeleo na ukuaji tofauti zao ni ndogo ndogo tu
Hilo ghorofa ndio lina lift ya kwendea Mwakaleli eeeh!
Hakuna watu wengi? Nenda mitaa ya Mwanjelwa uone!Aisee kumbe pazuri hivi mji msafi hakuna watu wengi the way i like it kama ulaya vile so nice
Kijitonyama (Dsm} iko modernized majengo kulilo Mbeya city center!
FreshKwa mtazamo wangu at least Iringa ina majengo ya maana kuliko mbeya, mbeya imezungukwa na vijumba vya udongo
Kwani jamaa amesema anashindanisha Dar na MbeyaKijitonyama (Dsm} iko modernized majengo kulilo Mbeya city center!
Kwahiyo?Kijitonyama (Dsm} iko modernized majengo kulilo Mbeya city center!
Maeneo ya Forest kwenye kituo cha Kabwe ndo nini?
Kwani hili si jukwaa huru? Kila mtu ana comment atakavyo??Kwani jamaa amesema anashindanisha Dar na Mbeya
Imekutachii eeh!
Tatizo lao wanalinganisha wakati thread hii haina lengo hilo.Nimependa Majibu yako Mkuu! Short and Clear. Kuna mijitu humu wanaiponda Mbeya utadhani kwao ni maghorofa na lami tu, kuumbe wengine wa Manzese, Charambe, Kwa Morombo, Ngokoro, Buzebazeba, Mafiga, Makole, Kishumundu, Mwembetogwa, n.k.