Mbeya City's Photo Gallery

Kijiji kikubwa cha Kusini mwa Tanzania.
 
Kwa mtazamo wangu at least Iringa ina majengo ya maana kuliko mbeya, mbeya imezungukwa na vijumba vya udongo
 
Nimependa Majibu yako Mkuu! Short and Clear. Kuna mijitu humu wanaiponda Mbeya utadhani kwao ni maghorofa na lami tu, kuumbe wengine wa Manzese, Charambe, Kwa Morombo, Ngokoro, Buzebazeba, Mafiga, Makole, Kishumundu, Mwembetogwa, n.k.
Tatizo lao wanalinganisha wakati thread hii haina lengo hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…