wazirib28
JF-Expert Member
- Dec 14, 2015
- 460
- 275
ya sugu ndo pangenoga zaidiIpo sehemu gani mkuu ili kesho nikaophotoe. Au inaitwaje niisearch google maps?Ungeanza na![]()
![]()
![]()
![]()
ya sugu ndo pangenoga zaidi
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Leta picha sasaHiyo ndio green city
Karibu sana. Ni kutamu balaa...Nataman sana nifike
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Mkuu kesho nenda maeneo ya Forest , kituo cha kabwe kuna kibaa kimoja kinaitwa Banyamulenge. Kaipige picha uiweke humu nitafurahi sana, maana ni longi kitambo.Ipo sehemu gani mkuu ili kesho nikaophotoe. Au inaitwaje niisearch google maps?
Sent from my SM-G318H using JamiiForums mobile app
😀 😀 😀 😀 😀 😀Mkuu kesho nenda maeneo ya Forest , kituo cha kabwe kuna kibaa kimoja kinaitwa Banyamulenge. Kaipige picha uiweke humu nitafurahi sana, maana ni longi kitambo.
Gharama za maisha ni ndogo kulinganisha na mahali popote TZ.Apo mbeya town kitu gani kinachovutia zaidi
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Inaitwa hotel desderia..Ipo sehemu gani mkuu ili kesho nikaophotoe. Au inaitwaje niisearch google maps?
Sent from my SM-G318H using JamiiForums mobile app