MBEYA: Bwana harusi aliyemkimbia Bibi harusi arudi, kwanini siri na ndoa kufungwa tena?

blooms

Member
Dec 20, 2016
52
40
Ni siku kadhaa tangu tukio la kusisimua kutokea mkoani Mbeya Bwana Mwakalobo ambaye ndiye Bwana harusi kumtekeleza Bibi harusi given Mgaya sasa arudi kimya kimya kwa familia nakuomba msamaha kisha ndoa kufungwa.

Tukukio zima angalia video hii hapa chini.
 

Attachments

  • TMPDOODLE1482555282867.jpg
    TMPDOODLE1482555282867.jpg
    44.8 KB · Views: 153
  • TMPDOODLE1482555607920.jpg
    TMPDOODLE1482555607920.jpg
    30.2 KB · Views: 176
Mwakalobo alikuwa anatishia watu wazima nyau!! Yaani kumbe alirudi kuomba msamaha mwenyewe tena!!!
Ukiamua kufanya kitu usirudi nyuma utajirekebisha mbele kwa mbele hapo kani let down

Japo nampa hongera kwa kuoa jambo la kheri ilo, kaoa kishingo upande
 
Ni siku kadhaa Tangu tukio LA kusisimua kutokea mkoani mbeya Bwana Mwakalobo ambaye ndiye Bwana arusi kumtekeleza Bibi arusi given mgaya sasa arudi kimya kimya kwa familia nakuomba msamaha kisha ndoa kufungwa.. Tukukio zima angalia video hii hapa chini

Mbona inaonekana kama kaoa kwa shinikizo, uso hauna furaha ya kweli
 
asubiri revenge ndani ya ndoa atahenyeshwa
na ninaamini atakuja jf kuomba msaada japo kwa jina jinginet Time will tell...
Sidhani akimnyima unyumba atapoozea hata kwa house girl bora ajitahidi kuonyesha upendo ili ambadilishe kabisa na ampende vinginevyo atadai alishinikizwa na kutishiwa maisha kwa hiyo hataki kuendelea na ndoa hiyo.
 
Nasikia kisa cha jamaa kukimbia ni baada ya kugundua kuwa yule dada alikuwa na mtoto halafu hakuwahi kumuambia Jamaa
 
Mwakalobo alikuwa anatishia watu wazima nyau!! Yaani kumbe alirudi kuomba msamaha mwenyewe tena!!!
Ukiamua kufanya kitu usirudi nyuma utajirekebisha mbele kwa mbele hapo kani let down

Japo nampa hongera kwa kuoa jambo la kheri ilo, kaoa kishingo upande
Hadi tai imekaa kishingo upande ahahahha
 
Back
Top Bottom