Mbeya: Ajali imeua watatu maeneo ya Itambo Mbalali

Mbeya: Ajali imeua watatu maeneo ya Itambo Mbalali

kile kijiji kikienda kutiwa rock up , watia rock up wajipange wasije tangulia mbele ya haki
 
Mr. mifuko mabendera Ugoro embu achia ngazi maana kiti kimekushinda maana jiwe kachoka kutuma rambi rambi.

Tahaira naona zimeletwa na pepo la upinzani embu na wewe rule ukapige ramli

R.I.P kwa ndugu zetu
 
Inasikitisha kuona bado tatizo hili la ajali bado lipo na linaendelea kupoteza maisha ya watu;tuelewe accident its someone FAULTY sio kazi ya Mungu;angalia hiyo picha hakuna kabisa waokoaji hapo,ambulances hamna,watu wasioelewa jinsi ya kutoa msaada kwa watu waliopata ajali ndio wapo wengi hapo,hakuna polisi hapo;elewa kuwa unapotoa msaada kwa majeruhi nawe huna utaalamu huo ni kosa na unaweza funguliwa mashitaka ya madai dhidi yako,kazi hii iachiwe wataalamu ,wewe kuwa msaada wa kulinda hiyo scene ili kusitokee ajali nyingine;my RCelewa umepewa mkoa wenye kutokea ajali nyingi kwa hiyo please jipange vema,andaa kikosi maalum cha uokoaji chenye mafunzo ya uokoaji,fire brigade yako iboreshwe,traffic cops wafundishwe na wapewe elimu itakayowasaidia kutekeleza majukumu yao,elimu kwa pedestrians itolewe ili waelewe jinsi ya kutumia hizi barabara,vyombo vyote vya moto vile roadworthy kabla ya kuruhusiwa kuwa barabarani(hili una weza to outsource kwa kampuni za kuchunguza vyombo hivi na watakuwa wanalipa kodi yao serikalini),otherwise tutapeleka tena viongozi wa dini eti watuombee ajali zisitokee!!!!.acha siasa kwa wanasiasa my RC.
 
Yule zwazwa wa mbeya juzi alikua anaropoka kuwa kuchagua upinzani mpaka ajali zinazidi mbeya aje tena......rest in peace mliotutangulia
Na wajeruhi nawaombea a soon recovery
 
Hivi wale traffic polisi waliosababisha ajali halafu wakakimbia, walichukuliwa hatua kweli. Kama siyo mbeya ni Singida nadhani.
 
Back
Top Bottom