Mbeya again! Soko lateketea kabisa mjini Tunduma

Mufiyakicheko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
892
Reaction score
86
soko la tunduma linateketeya kwa moto chanzo bado haijajulikana

Aibu aibu zimamoto toka zambia ndoinaingia soko linateketeya
 
Ruge ndio kafanya mipango yote, ok poleni sana wanatunduma na mbunge. Wenu. Joseph silinde.
 
Moto unawaka muda huu soko kuu la tunduma unawaka kwa kasi
 
Maduka na vibanda vya wafanyabiashara mji mdogo wa tunduma mbeya yana/vinateketea kwa moto.
 
Ndugu zangu mlioko huko mtujuze kuhusu kuungua kwa soko la Tunduma
 
Mweneyewe nimepokea ujumbe mfupi na aliyetuma yuko Mbeya mjini atafuatilia na kunijulisha...........inasikitisha hii hali na kama ni hujuma basi walaaniwe wenye vitendo hivi viovu!:A S embarassed:
 
kunanini huko,mbona kila cku masoko yanaungua 2?mi nahic kunaki2 hakiko sawa huko.
 
nipo eneo la tukio gari la zimamoto limekuja hapa ni la zambia halaf halina maji.
 
Compare and contrast natural fire accident VS planned fire accident
 
poleni wote mliokutwa na mkasa huo, atakaepata chanzo sahihi atufahamishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…